mimi ni msichana nina boyfrend wangu ambaye mapenz yetu yameanza tangu tukiwa udsm mwaka 2004-2007na mpaka leo tunaendelea,mimi nilikuwa wa kwanza kupata kaz 2009 na yeye kipindi chote alikuwa yupo tu mpka alipoenda jeshin na kukamishen mwaka jana .

matatizo yanayonifanya niombe ushauri ni kama yafuatayo..naomben mniambie km anaweza kubadirika nikimpa muda wa kujirekebisha au nitakuwa napoteza muda tu?

1.ni chapombe tangu tukiwa chuo na nikawa nasema labda ni utoto tu wa shule uenda tukimaliza ataacha lakin hali haikuwa ivyo aliendelea kulewa sana ata afta chuo.

2.tulipokuwa tunapewa boom yeye analimaliza mapema lake then kaz inakuja kwangu .naomba unisaidie nauli ,naomba unisaidie ela ya kula sina mi skuwa na hiyana nampa tu kama ninayo

3.yeye hajawai kunipa ata sh kumi ni mimi tu ambaye namsaidia akikwama na mara akifanikiwa kupata pesa basi mapenzi yanapungua lakin akiishiwa mapenz,unyenyekevu na mahaba graph inapanda

4.kila nikimwambia ajirekebshe yaan analia anasema hajui kinachomsukuma kufanya ivo cz ata yeye pia hapend,wazaz wake wamemwonya sana lakini hasikii ilifikia hatua alikuwa km chizi ivi yaan too much pombe akisimama tu pale unajua mhh this is chapombe

5.juzi kapokea mshahara within 2wks kazinywea zote na majuz akaanza kuniomba ela ya nauli alivyokuja kunitembelea

7.analilia nimzalie mtoto/tuoane lakin nikiangalia mambo yake hofu inanijia kwamba ntakuja kuona rangi zote za dunia nikiwa ndoani nayeye

1.JE KUNA SIKU ANAWEZA KUBADIRIKA?

2.ANAWEZA KUTAMBUA NA KUJITAMBUA HE IS A MAN N ACT AS A MAN?

3.SHOULD I LEAVE HIM AU NIFANYEJE?

naomben ushauri cz naamin watu wa jf wana busara na hekima sana na ndiyo maaana nikawashirikisha kilio cha moyo wangu ili nipate msaada.

asanten n may god bles u