1.wanaume mnapenda kuwa namwanamke aliyejificha tabia..yani kwenu ninyi mwanamke akishaonyesha tabia zake kabla ya ndoa mnampiga chini na kumuona hafai..kumbe ulikuwa una uwezo wa kuangalia mapungufu ya tabia kama yanatekebishika ukamwambia badilika moja mbili tatu na mambo yakaenda,so unaenda ishi na mtu angalau unamfahamu.utasikia nataka kuoa mwanamke mfia dini[emoji1]sasa hakuna wanawake wanamambo mengi kama hao(ingawa si wote)hao wakija kuufahamu ulimwengu wa nje ya kufia Dini umekwenda na maji sheikh.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu katika hii dunia cha msingi ni kujua na namna ya kuishi na kuchukuliana.upendo na kusameheana vikitawala kati yenu.
2.hakuna haja ya kumchukia malaika wa Mungu(mtoto)bila sababu.kama una wasiwasi juu ya huyo mtoto nenda kimya kimya kacheki DNA ikijulikana si wako hakuna haja ya kuendelea na hiyo mwanamke maana huo uongo wa kukubambikia mtu mtoto umezidi levels zote.hauvumiliki.
3.hizo tabia za mkeo mpaka kufikia hapo..wewe mwanaume ndie uliyeruhusu huo ufala wote.mwanamke ni lazima aijue nafasi yake kama mwanamke sio akupande kichwani.halafu Huyo mwanamke inaonesha ana mwanaume mwingine Chief.
Kingine nyie wanaume pia jitahidini kuwa wabunifu na romantic kwa wake zenu.hata nyie huwa mnajisahau pia.mnaamini kuwa mwanamke ni kumhudumia tu na kumfanya fyoko fyoko kitandani [emoji57]
4.michepuko si suluhisho kabisa aiseh.tafuta muda wa kukaa peke yako sehemu iliyotulia(hapo usihusishe mchepuko kwenye safari yako)Hebu nenda kajitafakari kwa kina kama watoto wako ndio wanaokupa sababu ya kuishi na kufurahia maisha tafadhali tafadhali kuwa na muda nao.usiwapeleke boarding school ili upate muda sahihi wa kufurahi a nao.tafuta fuckmate ruhusu maisha yaendelee.ukiwa siriazi na mahusiano ya nje hakuna hatua kwenye maisha utapiga na hata hayo mahusiano ya nje yanamambo meusi mno..ukubali ukatae mwanaume hautakuwa peke yako kwenye maisha ya nje....
5.pole kwa changamoto unazopitia chief.aliyepewa kucha hana upele,mwenye upele hana kucha.mapenzi ya kindezi sana *****