Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kwa kuomba Kipindi Cha pili ya lipatikane goli na yasivuke matatu.... Woooi .... Angali mechi ya Marseille ..alipata 3 ... Nakaza mbupu ..mechi ya Lugodorets..mechi ya Rakow ...mechi ya Marseille mechi 27 ..nimeomba kipindi Cha pili lipatikane goli lakini yasivuke matatu.. mechi ya le Havre... Oya ... Nimerudisha tu hapa hasara yangu.....hii mbinu nimejaribu sana mechi kubwa.... Oyaaaa ....