Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
Leo nimeenda hospital na Nimeona kuwa nina vidonda vya tumbo.
Lakini nimenunua dawa, nikatumia sawa sawa tu.
Na sasa nimegundua ime expire!
Nina wasi wasi sana,
Nifanye nini?
Kunywa maziwa fresh kwa wingi kwa mda wa siku 5 asubuhi mchanana jioni uondoe sumu
greatly thoughtTulia wala usipaniki..Dawa iliyoexpire ni salama kuliko ambayo haijaexpire..Sema tu iliyoexpire haiwezi kukutibu tatizo lako.
Una shida mahali...!! Kwamba dawa iliyoexpire haina shida??? Usimpoteze mwenzio.. Sema hautapata Shida maana ukiambiwa Dawa ime expire leo sio kwamba ndo haifanyi kabisa kazi huwa wanaweka miezi almost 6 mbele hapo ndo zile Active ingredient zake zinakuwa Zimeharibika kwa kiasi kikubwa na haziwezi kufanya kazi ila Ukipewa dawa iliyoexpire tar ya leo inapiga kazi vizuri tu sema ndo sio salama kwa afya.Tulia wala usipaniki..Dawa iliyoexpire ni salama kuliko ambayo haijaexpire..Sema tu iliyoexpire haiwezi kukutibu tatizo lako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwamba unamsupport kwa Think big...kweli hata mjinga anakuwa ana akili inategemea yupo na nani.greatly thought
π π π π π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwamba unamsupport kwa Think big...kweli hata mjinga anakuwa ana akili inategemea yupo na nani.
Una shida mahali...!! Kwamba dawa iliyoexpire haina shida??? Usimpoteze mwenzio.. Sema hautapata Shida maana ukiambiwa Dawa ime expire leo sio kwamba ndo haifanyi kabisa kazi huwa wanaweka miezi almost 6 mbele hapo ndo zile Active ingredient zake zinakuwa Zimeharibika kwa kiasi kikubwa na haziwezi kufanya kazi ila Ukipewa dawa iliyoexpire tar ya leo inapiga kazi vizuri tu sema ndo sio salama kwa afya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bhasi nikwambie kupungua uwezo wa kufanya kazi wa dawa sababu ya kuvunjika vunjika kwa Ingredient zake.. ambapo haitokei siku moja ndo maana unaweza kunywa dawa siku moja baada ya kuexpire na ikafanya kazi bila shida.Unaelewa maana ya ku expire? Usimtie ujinga mwenzio bila sababu
Una shida mahali...!! Kwamba dawa iliyoexpire haina shida??? Usimpoteze mwenzio.. Sema hautapata Shida maana ukiambiwa Dawa ime expire leo sio kwamba ndo haifanyi kabisa kazi huwa wanaweka miezi almost 6 mbele hapo ndo zile Active ingredient zake zinakuwa Zimeharibika kwa kiasi kikubwa na haziwezi kufanya kazi ila Ukipewa dawa iliyoexpire tar ya leo inapiga kazi vizuri tu sema ndo sio salama kwa afya.
Ni kweli ishu ya toxicity after Degradation ya zile active ingredient ndo inafanya dawa iwe sumu..!! Reason ya kupungua efficacy itakuwa the same maana hata Zile ingredient zingine compisition yake itazingua so drug dosage form disntegration..absorption zitazingua. Incase ya dru reg after stability test na kujua shelf life then kuna muda ambao unaongezwa almost 6 month after expire date drug inakuwa still ipo powa japo ndo ishu ya Efficacy na safety zinapungua.Kwa kuzingatia toxicity inayosababishwa na Active Pharmaceutical Ingredient yenyewe, dawa iliyoexpire assay yake huwa ndogo below acceptance limit na hii inaifanya iwe safe kuliko dawa ambayo shelf life yake bado iko valid
Shida kubwa huja kwenye degradation products na impurities zinazoweza kuarise during storage. Kumbuka hizi zote huwa zinakua monitored duing stability studies kwa hiyo ninachokisema ni kua hana haja ya kupaniki, likelihood ya yeye kupata madhara ni ndogo ila uhakika tu ni kua efficacy yake itakua chini
Labda mleta mada atusaidie, dawa hiyo inaonesha alama zozote za kubadilika muonekano as in imeota kitu kama moulds au imebadilika rangi au inatoa abnormal smell?
Karibu.
Ni kweli ishu ya toxicity after Degradation ya zile active ingredient ndo inafanya dawa iwe sumu..!! Reason ya kupungua efficacy itakuwa the same maana hata Zile ingredient zingine compisition yake itazingua so drug dosage form disntegration..absorption zitazingua. Incase ya dru reg after stability test na kujua shelf life then kuna muda ambao unaongezwa almost 6 month after expire date drug inakuwa still ipo powa japo ndo ishu ya Efficacy na safety zinapungua.
Shelf life ndo inadertemine expire date PK inakupa Half life value ya dawa so ukitaka Shelf life then stability studies lazima zifanyike...!! Na kama dawa ina expire mwezi wa Sita huwaga kuna peirod ya miezu flani ambayo lazima iwe extended ahead dawa inakuwa bado ipo Fresh japo on process ya kuexpire dawa haiexpire mara moja paap...Noo so dawa iki expire jana leo unaweza kunywa alafu poa tu.Hii kitu ya miezi sita inayongezwa kutoka expiry date ni wapi imeandikwa hivyo au ni dawa gani, company gani au shule gani inaelekeza hivyo? hebu jikumbusheni "Drug Pharmakokinetics"
Shelf life ndo inadertemine expire date PK inakupa Half life value ya dawa so ukitaka Shelf life then stability studies lazima zifanyike...!! Na kama dawa ina expire mwezi wa Sita huwaga kuna peirod ya miezu flani ambayo lazima iwe extended ahead dawa inakuwa bado ipo Fresh japo on process ya kuexpire dawa haiexpire mara moja paap...Noo so dawa iki expire jana leo unaweza kunywa alafu poa tu.
Kisheria ndivyo ilivyo kitu kiki expiry hata dak mbele huruhusiwi kukitumia kana kinaexpire kesho wengine hata leo hawakitumii... ila concept kiscience unapiambiwa dawa ime expiry means ile composition yake inabadilika kuanzia Active ingredient nature mpaka Excipients na mabadiliko yale yanaweza kusababisha madhara kwa binadamu.. Ishu ya msingi ni Kuwa MABADILIKO HAYO HAYATOKEI SIKU MOJA...NI PROCESS.Kumbuka kuwa najaribu kuangalia neno " drug expiry date" kisheria!