Kwa kuzingatia toxicity inayosababishwa na Active Pharmaceutical Ingredient yenyewe, dawa iliyoexpire assay yake huwa ndogo below acceptance limit na hii inaifanya iwe safe kuliko dawa ambayo shelf life yake bado iko valid
Shida kubwa huja kwenye degradation products na impurities zinazoweza kuarise during storage. Kumbuka hizi zote huwa zinakua monitored duing stability studies kwa hiyo ninachokisema ni kua hana haja ya kupaniki, likelihood ya yeye kupata madhara ni ndogo ila uhakika tu ni kua efficacy yake itakua chini
Labda mleta mada atusaidie, dawa hiyo inaonesha alama zozote za kubadilika muonekano as in imeota kitu kama moulds au imebadilika rangi au inatoa abnormal smell?
Karibu.