Nimemeza dawa ya kuongeza nguvu za kiume

Nimemeza dawa ya kuongeza nguvu za kiume

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
12,674
Reaction score
29,643
Salama wapendwa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Leo mida ya saa 7 mchana hivi nilikuwa na mihadi ya kuonana na demu fulani hivi geto.Demu kaja geto ili tufanye yetu kule kutaka tu kuomba gemu akasema yupo kwenye Siku zake dah nikaishiwa pozi maana ile dawa inatakiwa kuimeza ndani ya saa moja kabla ya mechi.Sasa hofu yangu ni kwamba naweza kupata matatizo kwa badae??dushe liko poa tu ila nahisi kichwa kwa mbali kinanigonga.Wapendwa naomba mnijuze kama kuna madhara ya kumeza dawa ya kuongeza nguvu za kiume halafu usifanye mapenzi.
 
ukioa utakuwa unavimeza kila siku?vp mkeo akikurupusha mapema alfajiri akitaka haki yake?ushauri,mwanamke haridhishwi kwa 'kumsimamia' kama baiskeli,kuwa mjanja kwenye mapenzi,hyo hela unayonunulia vidonge saidia masikini utabarikiwa!am out!
 
mfundishe mautundu demu wako akutulize
 
Dah nimechelewa kutoa ushauri!! Nahisi yalitoka tu yenyewe ukawa poa.
 
Ajabu kijana mdogo wala huoni aibu kusema umekunywa dawa ya kuongeza nguvu za kiume. Ushakuwa wa kike wewe
 
Kunywa maji baridi sana kama lita moja tuu itakata hizo stimulations....Next time usitumie hayo madawa...kuna njia za asili kijana wala hutumii artificial chemicals

Salama wapendwa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Leo mida ya saa 7 mchana hivi nilikuwa na mihadi ya kuonana na demu fulani hivi geto.Demu kaja geto ili tufanye yetu kule kutaka tu kuomba gemu akasema yupo kwenye Siku zake dah nikaishiwa pozi maana ile dawa inatakiwa kuimeza ndani ya saa moja kabla ya mechi.Sasa hofu yangu ni kwamba naweza kupata matatizo kwa badae??dushe liko poa tu ila nahisi kichwa kwa mbali kinanigonga.Wapendwa naomba mnijuze kama kuna madhara ya kumeza dawa ya kuongeza nguvu za kiume halafu usifanye mapenzi.
 
Fikiri kabla ya hatua,kama ni madhara utapata.Ushauri vaa ndom tu ugonge si ugonjwa huo.
 
Mwanaume unafikiria kumeza dawa za kuongeza nguvu una matatizo gani? ama ndo mnashinda mnakula michips were kama kuku alafu bado unategemea uitwe mwanaume ...pumbafu zako kwasababu ya upuuzi wako mwenyewe
 
avatar264921_16.gif
Pita mitaa hii upate dawa ya kukutibu.
 
Back
Top Bottom