Nimemeza mseto asubuhi kufika saa tisa mchana nimejisahau nikanywa bia mbili

Nimemeza mseto asubuhi kufika saa tisa mchana nimejisahau nikanywa bia mbili

ha ha ha! hizo koment huko juu ati RIP!.. mkuu nawe umesahauje mpk ukafika 2! disemba hii shauriyako... itakuwa rip kweli.
 
Acha Fix wee unazijua Dawa Mseto vizuri? Ulizo zimeza siyo dawa mseto kama ni mseto ni za kichina,

Mseto wenyewe ungekuta umesha kusoweta, achana na ile ngoma.....
 
tafuta konyag.....
INA mchanganyiko wa methendriogixes na phenobrendazolixer.... ambazo zinadigest sumu.
 
Usikojoe wala kwenda haja kubwa kwa mda wa masaa 24, R I P in Advance
 
madokta hawapo hapa wako busy kutibu wagonjwa ndo maana unaambulia kejeli, naona bora ufanye linalowezekana ufike hospitali iliyo karibu
 
Umejisahau mkuu? Au ni wale hampitishi siku bila Maji ya mende?
 
Hapo umeharibu tu dose ilaa usiongezee biaa mzee..!! Ilaa siku ukinywaa Flagili usifanyee huoo upuuzi utajikutaa dunia nyingne..
 
Back
Top Bottom