Bora afanye hivyo kabisa asije kusumbua kumkamua Kama ni ummat MuhammadUsikojoe wala kwenda haja kubwa kwa mda wa masaa 24, R I P in Advance
Kumbe hujafa bado!Asanteni kwa ushauri wenu
Rambirambi tunatoa kupitia acount ganiRejea kichwa cha habari
Ni nini madhara yake?
Beer haina madhara kwa mseto mradi umepita muda wa zaidi ya masaa manne toka umezeRejea kichwa cha habari
Ni nini madhara yake?
jiandae kwa Machuma ya huko, au ulitubu?Rejea kichwa cha habari
Ni nini madhara yake?
Aende na grisijiandae kwa Machuma ya huko, au ulitubu?
Mimi nimemeza mseto, half an hour later nikapiga Valeur na sina wasi wasi! Nashangaa wewe unaogopa nini!