Niko haiMkuu ulikufa au bado uko Hai?
Sikupata madhara yoyote.Tupe mlejesho
Sawa ukipona Kunywa kadri uwezavyo.Niko hai
Acha roho mbaya
YapBado upo hai?
Ushakufa??? Lete mrejeshoRejea kichwa cha habari
Ni nini madhara yake?
AfadhaliNiko hai
Utatangulia wewe ... NyambafuuuuuuuuUshakufa??? Lete mrejesho
Hii inathibitisha kuwa bado huko hai.Tunashukuru kwamba hukupata madhara yoyote. Tupo pamojaUtatangulia wewe ... Nyambafuuuuuuuu