Nimemeza tunda ya Ubuyu. Je, kuna madhara nitayapata?

Nimemeza tunda ya Ubuyu. Je, kuna madhara nitayapata?

Watu wanameza matonge ya ugali ukubwa wa ngumi hawalalamiki wewe ka mbegu ka ubuyu tu.

Toa shaka mkuu utainya hio mbegu au itakuwa digested tumboni iongeze nutrients mwilini mwako
 
Pole sana naona ushaimbiwa parapanda.

Hakuna madhara yoyote kiafya kwa kumeza tumba/mbegu so long inapita kooni.

Ondoa shaka.
Shukani sana kwa ushauri wako,Hekima na busara zako nimezipenda sana
 
Jf raha Sana [emoji23][emoji23][emoji23]. Sio kwa majibu haya, mtoa mada anaweza jutia kuleta thread yake
 
Jf raha Sana [emoji23][emoji23][emoji23]. Sio kwa majibu haya, mtoa mada anaweza jutia kuleta thread yake
Hata kama ingekuwa ni kifo basi kisingeupukika kwani sote ni njia yetu moja,Ila busara ni muhimu sana unajua
 
Kunywa maji kidogo usizidishe inaweza kuota toka nikiwa mdogo na ambiwa binadamu ni udongo
Melo wa jamii forum anakazi sana katika huu mtandao wake,Ile mikikimikiki aliyoipataga kwa serikali ilikuwa inasababishwa na watu kama hawa kwa majibu yake
 
Hata kama ingekuwa ni kifo basi kisingeupukika kwani sote ni njia yetu moja,Ila busara ni muhimu sana unajua
Tumetofautiana mkuu, penye usiriaz unaletwa utani
 
Habari zenu wanajf,napenda kuuliza mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya,Je nifanyaje ili kuweza kuitoa,nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani

Kawaida kabisa, mimi kila mara natafuna na hayana madhara yoyote. Ukitaka chukua mbegu nyingi ziwe kavu ponda kula vya ndani, ni tamu balaa. Ni kama karanga.
 
Habari zenu wanajf,napenda kuuliza mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya,Je nifanyaje ili kuweza kuitoa,nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
Hakuna madhara ila utapata tabu kwrnye haja kubwa hapo [emoji23]
 
Kula ushibe mkubwa utaenda kuinya wala usijipe presure
Habari zenu wanajf,napenda kuuliza mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya,Je nifanyaje ili kuweza kuitoa,nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
 
Kweli jamii forum sasaivi imekuwa yakitoto sana,Mkuu kifo ni njia yetu sote hatuwezi kimbia kifo,nikiwahi mie basi ipo siku nawe utatangulia tu

Wewe umeandika cha kikubwa?!!
 
Back
Top Bottom