wakasema sababu ni mbegu ya ubuyu ndio imemuua?Mkuu fafanua kidogo. Mwezi uliopita mtoto was miaka minne alimeza mbegu ya ubuyu akafa na amezikwa. Kilangila.
jini tena!!?[emoji44]Umemeza jini
Melo wa jamii forum anakazi sana katika huu mtandao wake,Ile mikikimikiki aliyoipataga kwa serikali ilikuwa inasababishwa na watu kama hawa kwa majibu yakeKunywa maji kidogo usizidishe inaweza kuota toka nikiwa mdogo na ambiwa binadamu ni udongo
Majini yanakaa kwenye mibuyujini tena!!?[emoji44]
Tumetofautiana mkuu, penye usiriaz unaletwa utaniHata kama ingekuwa ni kifo basi kisingeupukika kwani sote ni njia yetu moja,Ila busara ni muhimu sana unajua
Habari zenu wanajf,napenda kuuliza mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya,Je nifanyaje ili kuweza kuitoa,nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
Hakuna madhara ila utapata tabu kwrnye haja kubwa hapo [emoji23]Habari zenu wanajf,napenda kuuliza mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya,Je nifanyaje ili kuweza kuitoa,nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
Habari zenu wanajf,napenda kuuliza mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya,Je nifanyaje ili kuweza kuitoa,nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
Hii zamani nilimezaga ya chenza nikaambiwa hivyo nililia hadi mama akarudi sokoni ndo akanipooza na andaziUtaota mbuyu tumboni
kwahiyo tukila ubuyu tunakula majini?Majini yanakaa kwenye mibuyu
Kweli jamii forum sasaivi imekuwa yakitoto sana,Mkuu kifo ni njia yetu sote hatuwezi kimbia kifo,nikiwahi mie basi ipo siku nawe utatangulia tu