[emoji3][emoji3][emoji3] hivi na wewe unakulaga ubuyu?kwahiyo tukila ubuyu tunakula majini?
wewe hauli kwani?Nimeuliza tu.
Mie Tena! Nakula sana ila sio mbeguwewe hauli kwani?
mbegu haziliwi ndio, ila ubuyu unaumiza ukila sana...upunguze.Mie Tena! Nakula sana ila sio mbegu
Sasa nani mtoto kati wewe ulieuliza swali la kitoto,na huyo anaekufanyia joking ya parapanda? Amekufanyia hivyo ksbb ya utoto ulioulizaKweli jamii forum sasaivi imekuwa yakitoto sana,Mkuu kifo ni njia yetu sote hatuwezi kimbia kifo,nikiwahi mie basi ipo siku nawe utatangulia tu
Mie nimeuliza nikitaka kujua kiafya inakuwaje hapo,kama kuna madhara nayafanyaje ili yasinidhuru zaidi,Sasa nani mtoto kati wewe ulieuliza swali la kitoto,na huyo anaekufanyia joking ya parapanda? Amekufanyia hivyo ksbb ya utoto uliouliza
Nakula Mara moja moja sanambegu haziliwi ndio, ila ubuyu unaumiza ukila sana...upunguze.
vizuriNakula Mara moja moja sana
Wewe hizo mbegu tu. Hakuna tunda linaloliwa,tena kama ubuyu ambao unaumung'unya,muda wowote mbegu inaweza kutereza ukaimeza,ikawa na madhara. Tushameza sana mbegu za matunda mengi hayo utotoni. Hakuna madhara. Hiyo itatoka pamoja na hajaMie nimeuliza nikitaka kujua kiafya inakuwaje hapo,kama kuna madhara nayafanyaje ili yasinidhuru zaidi,
Habari zenu wanajf,
Napenda kuuliza, mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya.
Je, nifanyaje ili kuweza kuitoa?
Nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani
Ok namie nafanyaga ivyo,ila napendaga zile mbegu laini laini tu
Watu wanakutisha tu hamna madhara yoyote yatotokanayo na kumeza tunda ya ubuyuHabari zenu wanajf,
Napenda kuuliza, mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya.
Je, nifanyaje ili kuweza kuitoa?
Nitashukuru sana kwa ushauri wenu jamani