Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Kweli ni maskhara, lakini kwanini tunapoteza muda wetu? Unasoma jibu la kwanza na hutaki kuondoka unaendelea na lapili, latatu, etc....majibu are so sweet, unabakia kucheka tu!
Watanzania kweli sisi ni watu waajabu sana!
Mzee mwenzangu katu-lubuva na bado tunacheka tu!
Huna akili broKwa macho yangu mawili bila miwani nimemshuudia mke wangu akitoka guest house, kupitia dirisha la guest ambalo Mimi nilikua ndani ya guest hiyo alitoka pekee now nipo home hivi nilianzishe au ninyamaze.