Nimemfa mke wangu akitoka guest

Nimemfa mke wangu akitoka guest

kwa macho Yang mawili bila miwani nimemshuudia mke Wangu akitoka guest house.kupitia dirisha la guest ambalo Mimi nilikua ndani ya guest hiyo alitoka pekee now nipo home hivi nilianzishe au ninyamaze
Usimuonee wivu mkeo wakati pesa huna.
 
Umeouza chen feki umepewa hela bandia...
Wote nyie ni majizi samehaneni
 
Muoe mliyekuwa naye guest!
Mkeo naye aolewe na waliyekuwa naye!
 
Khaa!! Waif wako bonge la komando, Dirishani?? Najisikia kumpenda ghafla,
 
Unajua kwa nn mnachepuka?? We una kibamia ye ana Rambo kwa hiyo alienda kutft ogo LA jang'ombe we ulikuwa kufaidi mnato.
.kwa hyo hata ucckitke
 
Sasa kwanini alitokea dirishani?
 
Hizi topic zingine ni masikhara tu....hamna ukweli wowote"

Kweli ni maskhara, lakini kwanini tunapoteza muda wetu? Unasoma jibu la kwanza na hutaki kuondoka unaendelea na lapili, latatu, etc....majibu are so sweet, unabakia kucheka tu!
Watanzania kweli sisi ni watu waajabu sana!
Mzee mwenzangu katu-lubuva na bado tunacheka tu!
 
Kwa macho yangu mawili bila miwani nimemshuudia mke wangu akitoka guest house, kupitia dirisha la guest ambalo Mimi nilikua ndani ya guest hiyo alitoka pekee now nipo home hivi nilianzishe au ninyamaze.
Hii ni chai iliyo kosa mchai chai....
 
Kwa macho yangu mawili bila miwani nimemshuudia mke wangu akitoka guest house, kupitia dirisha la guest ambalo Mimi nilikua ndani ya guest hiyo alitoka pekee now nipo home hivi nilianzishe au ninyamaze.

ehee wewe ulifuata nini guest house? sasa tambua habari sio mbwa kamng'ata mtu bali mtu kamwuma mbwa.
 
Mbona mkeo kawaida yake kuruka madirishani...
 
Sasa kama na wewe ulikuwa guest .kinachokuuma ni nini ?

Hapo guest Ulienda kufanyaje kama sio kuchepuka . Nyamaza kimya subiria tena siku nyingine ukimuona umkimbize umshike
 
Back
Top Bottom