Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mkeo usimwaibishe yeye ndio mpishi , mpishi atashindweje kuonja kama anapika, hata kama akila kuna shida gani ,mimi sijaipenda lugha yako, umpende mkeo nduguLeo wife kanikera mno.
Leo nimetoka zangu kwenye miangaiko nikasema ngoja ninunue kanusu kilo kakula na familia.
Mimi nikafika zangu nyumbani nikakabidhi mboga kwa wife nkamwambia andaa msiso.
Nikaenda zangu kuoga bafu ya nje nikatumia tuu dakika chache nikatoka ile namwangalia wife kama alikua anaficha kitu nikamwambia vipi sasa sijui alikua anabuguia na maskini akakabwa tena akaanza kupaliwa mwishowe akatema ile nyama.
Mimi sikupenda kumbana sana nisije kumuaibisha mbele ya watoto nikaamua anifate chumbani nikaammwambia kulikoni vipi.
Akaanza kuona ona aibu na et ooh ulinishtukia ghafla nikaoga mimi tuu nlikua naonja!
Sasa nikamwambia kama unaonja mbona ulikua na wasiwasi sasa hujiamini?
Nikaona nisizozane nae sana nkamwambia wewe ndio mama mwenye mji jiachie kwa raha zako na mimi ni mumeo basi akashukuru akaendelea kwenda kupika.
My take: Nyie wanawake nini kimewakumba? mbona mnakuwa waroho hivi wa nyama?
Acheni hii tabia kama kuna wengine wanaofanya humu mnawafunza wenenu udokozi.
Pia muwe na amani muwapo na wandani wenu bwana acheni kufanya mambo ya ajabu.
Na kweliSasa mkuu na hilo la kuanzisha thread
Ukitaka asidokoe nunua nyama nyingi kila siku mpe apike ale akinai wewe unanunua nusu kwa mwezi? Na kikawaida mwanamke mpe pesa yeye ndio aamue apike nini usimfuatefuate sanaMkeo usimwaibishe yeye ndio mpishi , mpishi atashindweje kuonja kama anapika, hata kama akila kuna shida gani ,mimi sijaipenda lugha yako, umpende mkeo ndugu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hivi msimu wa kuvuna bangi umefika?
Kwa nini unaingiza wapare kwenye ishu personal kabisa? Grow up!!!Duuh unasimamia mpaka nyama? Ww ni mpare?
hadi mwenyewe namshangaa, eti mke kadokoa nyama????Hivi na wewe nae ni Mume?
Tena mwenye watoto!!
Khaaaaaaaahhh!!!
exactly, yani inaonyesha hapo home nyama adimu sana kiasi kwamba vipande vya nyama jamaa anahesabu ole wake akute viko shotiiMkuu inaonesha hapo home ni mwendo wa nafaka tu, no samaki, no nyama thats why ameamua kupunguza kiu yake ya nyama jikoni.
My take: jitahidi weka ratba ya nyama even 3 days per week, vinginevyo akitokea jamaa wa bucha(muuza nyama) huyo mkeo ataliwa kirahsi sana.