Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

Nimemfumania MKE wangu na mwanaume mwingine, nimemsamehe lakini hataki kurudi!

Mimi ni kijana wa miaka 40, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 15 sasa. Wakati nakutana na huyu mke wangu, wote tulikuwa bado wadogo na ndiyo tumemaliza chuo. Ni mtu ambaye tumekua pamoja, na kila kitu kilikuwa vizuri.

Mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza kupata kazi. Baada ya kupata kazi, tulikubaliana nimchukulie mkopo mke wangu tufungue biashara. Kweli nilifungua biashara ya duka la vyombo kwani ni kitu ambacho mke wangu alikuwa anajua sana, hasa kipindi tuko chuoni kama aliuzia hiyo biashara. Mambo yalikuwa vizuri, na mpaka sasa Mungu ametujalia watoto wanne. Mke wangu ni mtu ambaye nilikuwa namuamini sana. Anasafiri kwenda kuchukua mzigo, anaenda anapotaka bila hata kuniaga, lakini mimi nachukulia poa kwa sababu najua kuwa hawezi kufanya kitu kibaya.

Mwezi wa sita niliona kuna mabadiliko, mke wangu alianza kuwa mkali sana na mara nyingi alikuwa akikumbusha makosa yangu ya zamani. Ndoa ina miaka 15 lakini kipindi cha uchumba, wakati tuko chuoni wote, kuna mahusiano nilikuwa nayo, kwamba niliwahi kumchanganya mke wangu na rafiki yake. Ulikuwa ni utoto, na tuligombana mpaka tukaachana, na baada ya hapo nilimuomba msamaha na kumuahidi kuwa hicho kitu hakitajirudia tena.

Kweli nilijuta na niliona umuhimu wake kuwa ni mke wa kuoa, na tulirudiana mpaka tukamaliza chuo, tukatafuta kazi na nikaamua kumuoa. Hajawahi kunikumbushia kwa miaka 15 yote ya ndoa na hiyo ishu tulishaiacha. Hata wakati mwingine tukikutana na huyo rafiki yake tunacheka tu, lakini hata hajawahi kuniambia kuwa hicho kitu kinamkera. Alipoanza kuzungumzia hicho kitu nikawa na wasiwasi kuhusu kuwa kuna kitu. Sina kawaida ya kushika simu yake, lakini nilianza kumfuatilia. Niliposhika simu yake, nilichokutana nacho huwezi kuamini.

Mke wangu ana mahusiano na kaka mmoja ambaye wanafanya biashara pamoja. Wanasafiri wanalala chumba kimoja, hata kununua mzigo wananunua pamoja, na wanakopesha pesa bila kuniambia. Na ubaya ni kwamba huyo mwanaume mara nyingi anakuja kwangu na namchukulia kama rafiki. Mke wangu alishawahi kupeleka mpaka watoto wangu kwa huyo mwanaume. Kweli nilipaniki na nilim*piga sana. Baada ya hapo aliondoka kwa hasira na kwenda kwao. Mimi sikujali, ila baada ya kama siku nne hivi akili yangu ilirudi, nikajua nimefanya makosa. Kwamba pamoja na kuchepuka, lakini ni mama wa watoto wangu hivyo sikupaswa kumuadhibu vile. Nilijutia, nikamtafuta kwenye simu ila akaniambia kuwa yeye hawezi kurudi.

Nilienda mpaka kwao na kuongea na mama yake. Nikamwambia tuna watoto, nimeamua kumsamehe ila akagoma. Nikaongea na baba yake, akaniambia kama ni kumsamehe basi nimsamehe kwa maandishi, niandike kuwa sina kinyongo na kitu kibaya kikimtokea niwajibishwe. Nilifanya hivyo. Mke wangu akaniambia ondoka, nitarudi, lakini sasa hivi inakaribia mwezi hajazungumzia mambo ya kurudi wala nini!

Ni kama vile hataki kurudi. Nikimpigia simu anakuwa kama mkali hivi, yaani nachanganyikiwa. Ukiangalia tuna watoto, ni mwanamke mtafutaji, tumeishi vizuri mambo mengi amenisaidia. Vitu vingi tulivyo navyo ni juhudi zake. Sio kwamba ananizidi kipato au anajihudumia, hapana, nimemzidi sana kipato. Pamoja na yeye kuwa na biashara, sihitaji pesa yake ila nafikiria wanangu wataishije bila yeye. Kila siku wananiuliza mbona mama harudi, nakosa jibu. Nisaidie nifanye nini mke wangu arudi, nimsahau kila kitu.

MIMI: Mwanaume, kama unaona kuwa wanawake wanakusumbua, kuanzia kukutongoza mpaka kukuheshimu, kama mke wako anaweza kuchepuka na ukachanganyikiwa hivi, basi soma kitabu changu cha “SIRI 11 Za Kumfanya Mwanamke Kukuheshimu Na Kukupenda.” Huna haja ya kulialia sana, mwanamke habadiliki kwa kulialia na kulalamika. Anabadilishwa kwa kumuonyesha uanaume wako.

MWISHO
Acha ujinga wewe ,achana naye! Yaani mtu anatafunwa na mtu mwingine ,wanalala hotel moja? Hakuna mwanamke hapo!!
 
Ila jamani, watu wengine moyo wako upo upande wa kulia, uutajiri wa roho.
Kitu hujui siku aikirudi atakuambia hao watoto wote siyo wako.

Fanya taratibu za kuhamishia hao watoto kwa bibi yao utulize akili kwanza.
 
MIMI: Mwanaume, kama unaona kuwa wanawake wanakusumbua, kuanzia kukutongoza mpaka kukuheshimu, kama mke wako anaweza kuchepuka na ukachanganyikiwa hivi, basi soma kitabu changu cha “SIRI 11 Za Kumfanya Mwanamke Kukuheshimu Na Kukupenda.” Huna haja ya kulialia sana, mwanamke habadiliki kwa kulialia na kulalamika. Anabadilishwa kwa kumuonyesha uanaume
Mkuu we kiazi kabisa unadhani akirudi wataachana na huyo mwamba, ki msingi tafuta mwanamke mlete hime alee watoto . Wewe oa mwanamke mwingine mpangishe sehem. Andika barua kwa mzee ya kutengua kauli yako mwambie mashariti yako kuwa kama anataka kurudi aje akuimbe msamaha na kuahidi kutorudia makosa yake. Tafuta mwanasheria au nenda ustawi wa jamii kashtaki. Ikifika miexi 6 oa rasmi na yy usimpe talaka
 
Kama kuna kosa umefanya ni kujishusha kwa mkeo tena ukiwa kwao ba mkwe anakwambia uombe msahama kwa mwandishi, kwao kafata nini?

Huyo keshajua udhaifu wako ulipo na unavyomtafuta ndo unampa kiburi kuwa bila yeye maisha yako na wanao hayasongi.

Focus na mambo yako achana nae tena ikiwezekana mwambie kufika kesho kama hauji naoa na usiruhusu suluhu ifanyikie kwao hilo ni kosa kubwa kwao mke hawajui kujenga zaidi ya kubomoa hasa u kikuta kuna namna walikuwa wananufaika na binti yao mwisho kuwa na msimamo!

Mwanaume huwa hakosei na kamwe usithubutu kumuomba mkeo msamaha hilo ni kosa kubwa. Yeye mwanamke akuombe msamaha kwa kwenda kwao bila ruhusa yako na kukuacha na watoto pekee!
 
Ni dhahiri hakupendi. Ukiendelea kumbembeleza arudi yatakuwa ya "Mwanakulitafuta ...."
 
Nimemfumania MKE wangu na mwanaume mwingine, nimemsamehe lakini hataki kurudi!

Mimi ni kijana wa miaka 40, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 15 sasa. Wakati nakutana na huyu mke wangu, wote tulikuwa bado wadogo na ndiyo tumemaliza chuo. Ni mtu ambaye tumekua pamoja, na kila kitu kilikuwa vizuri.

Mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza kupata kazi. Baada ya kupata kazi, tulikubaliana nimchukulie mkopo mke wangu tufungue biashara. Kweli nilifungua biashara ya duka la vyombo kwani ni kitu ambacho mke wangu alikuwa anajua sana, hasa kipindi tuko chuoni kama aliuzia hiyo biashara. Mambo yalikuwa vizuri, na mpaka sasa Mungu ametujalia watoto wanne. Mke wangu ni mtu ambaye nilikuwa namuamini sana. Anasafiri kwenda kuchukua mzigo, anaenda anapotaka bila hata kuniaga, lakini mimi nachukulia poa kwa sababu najua kuwa hawezi kufanya kitu kibaya.

Mwezi wa sita niliona kuna mabadiliko, mke wangu alianza kuwa mkali sana na mara nyingi alikuwa akikumbusha makosa yangu ya zamani. Ndoa ina miaka 15 lakini kipindi cha uchumba, wakati tuko chuoni wote, kuna mahusiano nilikuwa nayo, kwamba niliwahi kumchanganya mke wangu na rafiki yake. Ulikuwa ni utoto, na tuligombana mpaka tukaachana, na baada ya hapo nilimuomba msamaha na kumuahidi kuwa hicho kitu hakitajirudia tena.

Kweli nilijuta na niliona umuhimu wake kuwa ni mke wa kuoa, na tulirudiana mpaka tukamaliza chuo, tukatafuta kazi na nikaamua kumuoa. Hajawahi kunikumbushia kwa miaka 15 yote ya ndoa na hiyo ishu tulishaiacha. Hata wakati mwingine tukikutana na huyo rafiki yake tunacheka tu, lakini hata hajawahi kuniambia kuwa hicho kitu kinamkera. Alipoanza kuzungumzia hicho kitu nikawa na wasiwasi kuhusu kuwa kuna kitu. Sina kawaida ya kushika simu yake, lakini nilianza kumfuatilia. Niliposhika simu yake, nilichokutana nacho huwezi kuamini.

Mke wangu ana mahusiano na kaka mmoja ambaye wanafanya biashara pamoja. Wanasafiri wanalala chumba kimoja, hata kununua mzigo wananunua pamoja, na wanakopesha pesa bila kuniambia. Na ubaya ni kwamba huyo mwanaume mara nyingi anakuja kwangu na namchukulia kama rafiki. Mke wangu alishawahi kupeleka mpaka watoto wangu kwa huyo mwanaume. Kweli nilipaniki na nilim*piga sana. Baada ya hapo aliondoka kwa hasira na kwenda kwao. Mimi sikujali, ila baada ya kama siku nne hivi akili yangu ilirudi, nikajua nimefanya makosa. Kwamba pamoja na kuchepuka, lakini ni mama wa watoto wangu hivyo sikupaswa kumuadhibu vile. Nilijutia, nikamtafuta kwenye simu ila akaniambia kuwa yeye hawezi kurudi.

Nilienda mpaka kwao na kuongea na mama yake. Nikamwambia tuna watoto, nimeamua kumsamehe ila akagoma. Nikaongea na baba yake, akaniambia kama ni kumsamehe basi nimsamehe kwa maandishi, niandike kuwa sina kinyongo na kitu kibaya kikimtokea niwajibishwe. Nilifanya hivyo. Mke wangu akaniambia ondoka, nitarudi, lakini sasa hivi inakaribia mwezi hajazungumzia mambo ya kurudi wala nini!

Ni kama vile hataki kurudi. Nikimpigia simu anakuwa kama mkali hivi, yaani nachanganyikiwa. Ukiangalia tuna watoto, ni mwanamke mtafutaji, tumeishi vizuri mambo mengi amenisaidia. Vitu vingi tulivyo navyo ni juhudi zake. Sio kwamba ananizidi kipato au anajihudumia, hapana, nimemzidi sana kipato. Pamoja na yeye kuwa na biashara, sihitaji pesa yake ila nafikiria wanangu wataishije bila yeye. Kila siku wananiuliza mbona mama harudi, nakosa jibu. Nisaidie nifanye nini mke wangu arudi, nimsahau kila kitu.

MIMI: Mwanaume, kama unaona kuwa wanawake wanakusumbua, kuanzia kukutongoza mpaka kukuheshimu, kama mke wako anaweza kuchepuka na ukachanganyikiwa hivi, basi soma kitabu changu cha “SIRI 11 Za Kumfanya Mwanamke Kukuheshimu Na Kukupenda.” Huna haja ya kulialia sana, mwanamke habadiliki kwa kulialia na kulalamika. Anabadilishwa kwa kumuonyesha uanaume wako.

MWISHO
Kaka ...usikwepe maumivu, fukuza mzinzi huyo utapona tu. kumbuka yeye ameshindwa kukuheshimu...basi at least jiheshimu wewe mwenyewe...
 
Wewe ni shot
Huyu mshikaji jau sana. Yaani uzi wa tarehe 12 Agosti alikuwa na miaka 30 lakini uzi wa juzi ndani ya agosti hii hii tayari ana miaka 40.

Hiki ni kichomi maana kamba nyingi halafu za manila qmmmk.😆
 
Msamehe.atateseka sana ukifanya hivyo.mimi ilinitokea tena jirani yangu.nyumba ya pili kutoka kwangu.nikawaaambia kwa pamoja nimewasamehe.wife alianza kukonda ghafla.akanishtaki.kwa kosa la kumsamehe.kwenye kikao nikawasamehe tena.wife anaishi kwa shida.kuna wakati hata nikijamba anaitika!ipo NGUVU kwenye msamaha.
 
Kwanza inaonekana hadi sasa huna mchumba wala mke umeamua kunogesha kijiwe tu.
 
Miaka 40 bado unajiita kijana, hebu acha ujinga wewe ni mtu wa makamo haupo kwenye ujana tena.

Katika makosa ya kiufundi uliyokubali kuyafanya ni hilo la kujikomiti kuwa lolote baya litakalomkuta eti uwajibishwe, kwa akili ya haraka tu hapo hiyo familia haikuhitaji
 
Nimemfumania MKE wangu na mwanaume mwingine, nimemsamehe lakini hataki kurudi!

Mimi ni kijana wa miaka 40, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 15 sasa. Wakati nakutana na huyu mke wangu, wote tulikuwa bado wadogo na ndiyo tumemaliza chuo. Ni mtu ambaye tumekua pamoja, na kila kitu kilikuwa vizuri.

Mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza kupata kazi. Baada ya kupata kazi, tulikubaliana nimchukulie mkopo mke wangu tufungue biashara. Kweli nilifungua biashara ya duka la vyombo kwani ni kitu ambacho mke wangu alikuwa anajua sana, hasa kipindi tuko chuoni kama aliuzia hiyo biashara. Mambo yalikuwa vizuri, na mpaka sasa Mungu ametujalia watoto wanne. Mke wangu ni mtu ambaye nilikuwa namuamini sana. Anasafiri kwenda kuchukua mzigo, anaenda anapotaka bila hata kuniaga, lakini mimi nachukulia poa kwa sababu najua kuwa hawezi kufanya kitu kibaya.

Mwezi wa sita niliona kuna mabadiliko, mke wangu alianza kuwa mkali sana na mara nyingi alikuwa akikumbusha makosa yangu ya zamani. Ndoa ina miaka 15 lakini kipindi cha uchumba, wakati tuko chuoni wote, kuna mahusiano nilikuwa nayo, kwamba niliwahi kumchanganya mke wangu na rafiki yake. Ulikuwa ni utoto, na tuligombana mpaka tukaachana, na baada ya hapo nilimuomba msamaha na kumuahidi kuwa hicho kitu hakitajirudia tena.

Kweli nilijuta na niliona umuhimu wake kuwa ni mke wa kuoa, na tulirudiana mpaka tukamaliza chuo, tukatafuta kazi na nikaamua kumuoa. Hajawahi kunikumbushia kwa miaka 15 yote ya ndoa na hiyo ishu tulishaiacha. Hata wakati mwingine tukikutana na huyo rafiki yake tunacheka tu, lakini hata hajawahi kuniambia kuwa hicho kitu kinamkera. Alipoanza kuzungumzia hicho kitu nikawa na wasiwasi kuhusu kuwa kuna kitu. Sina kawaida ya kushika simu yake, lakini nilianza kumfuatilia. Niliposhika simu yake, nilichokutana nacho huwezi kuamini.

Mke wangu ana mahusiano na kaka mmoja ambaye wanafanya biashara pamoja. Wanasafiri wanalala chumba kimoja, hata kununua mzigo wananunua pamoja, na wanakopesha pesa bila kuniambia. Na ubaya ni kwamba huyo mwanaume mara nyingi anakuja kwangu na namchukulia kama rafiki. Mke wangu alishawahi kupeleka mpaka watoto wangu kwa huyo mwanaume.

Kweli nilipaniki na nilim*piga sana. Baada ya hapo aliondoka kwa hasira na kwenda kwao. Mimi sikujali, ila baada ya kama siku nne hivi akili yangu ilirudi, nikajua nimefanya makosa. Kwamba pamoja na kuchepuka, lakini ni mama wa watoto wangu hivyo sikupaswa kumuadhibu vile. Nilijutia, nikamtafuta kwenye simu ila akaniambia kuwa yeye hawezi kurudi.

Nilienda mpaka kwao na kuongea na mama yake. Nikamwambia tuna watoto, nimeamua kumsamehe ila akagoma. Nikaongea na baba yake, akaniambia kama ni kumsamehe basi nimsamehe kwa maandishi, niandike kuwa sina kinyongo na kitu kibaya kikimtokea niwajibishwe. Nilifanya hivyo. Mke wangu akaniambia ondoka, nitarudi, lakini sasa hivi inakaribia mwezi hajazungumzia mambo ya kurudi wala nini!

Ni kama vile hataki kurudi. Nikimpigia simu anakuwa kama mkali hivi, yaani nachanganyikiwa. Ukiangalia tuna watoto, ni mwanamke mtafutaji, tumeishi vizuri mambo mengi amenisaidia. Vitu vingi tulivyo navyo ni juhudi zake. Sio kwamba ananizidi kipato au anajihudumia, hapana, nimemzidi sana kipato. Pamoja na yeye kuwa na biashara, sihitaji pesa yake ila nafikiria wanangu wataishije bila yeye. Kila siku wananiuliza mbona mama harudi, nakosa jibu. Nisaidie nifanye nini mke wangu arudi, nimsahau kila kitu.

MIMI: Mwanaume, kama unaona kuwa wanawake wanakusumbua, kuanzia kukutongoza mpaka kukuheshimu, kama mke wako anaweza kuchepuka na ukachanganyikiwa hivi, basi soma kitabu changu cha “SIRI 11 Za Kumfanya Mwanamke Kukuheshimu Na Kukupenda.” Huna haja ya kulialia sana, mwanamke habadiliki kwa kulialia na kulalamika. Anabadilishwa kwa kumuonyesha uanaume wako.

MWISHO
Wanaume hawaombi ushauri kwenye jambo la uzinzi wa mke,kama uneshindwa kujitambua huyo jamaa atakuja kukupiga pipe na wewe na anakuona nawe kma mkewe
 
MKE WANGU ANANISUMBUA
BABU: Denis! Denis! Mbona umejiinamia mjukuu wangu, kulikoni?

DENIS: ...Oooh! Acha tu Babu...Mke wangu ananisumbua sana...kwanza shikamoo Babu...

BABU: Marhaba mjukuu wangu Denis....Tazama ulivyotingwa na mawazo mengi kichwani. Pole sana Denis... Tatizo ni nini?

DENIS: Sijui nikuelezee nini Babu?, nampenda sana mke wangu...nimefanya kila kitu ili awe na furaha lakini bado ananisumbua. Nimekuwa mkamilifu kwake...sijui anataka nini nimfanyie?

BABU: Aaaaah! Umenifurahisha sana leo mjukuu wangu. Najua unampenda sana mkeo. Bahati mbaya huwajui wanawake. Kwa miaka 79 ya maisha yangu hapa Duniani....Nimejifunza haya kwa wanawake. Sikiliza!!!
BABU:Japo watu wengi wanasema...mwanamke hajui anachotaka lakini ukweli ni kuwa, mwanamke anapenda vitu vigumu.
Wao (Wanawake) wanasema wanapenda mwanaume aliye "romantic" ukweli ni kwamba; wanawake wengi wanawaumiza wanaume walio romantic. Kwahiyo, wanachokisema sicho wanachokitaka.

Kadiri unamvyompenda sana mwanamke ,ndivyo unavyokaribia kumpoteza.

Wanawake kiujumla wanavutiwa na wanaume walio wababe, wenye misimamo na wasiojali sana. Wanawake hawapendi wanaume wapole sana.

Ukimsikiliza sana anachokitaka....Mwanamke anakudharau. Wanasema wanapenda maneno matamu kutoka kinywani mwa mwanaume lakini ukweli sio wanavyomaanisha.

Kiujumla...wanawake wanapenda vitu ambavyo wao hawana.

Denis! Denis! nisikilize hapa kwa umakini......

"Maji tumekuwa tukiyatumia nyumbani na yana thamani kubwa sana katika uhai wa mwanadamu, lakini hakuna hata siku moja ambayo umewahi kuwazia juu ya uthamani wake.

Kwa kuwa upatikanaji wake ni rahisi pamoja na umuhimu wake maji ,hayana thamani sokoni.

Madini mfano dhahabu, Tanzanite, Almasi hayana mchango wowote katika uhai wa mwanadamu lakini ndio kitu chenye thamani kubwa sokoni kwa sababu upatikanaji wake ni mdogo"

Je umenielewa ?

DENIS: Nimekuelewa kiasi Babu...Nakusikiliza....

BABU: Kupatikana kwako muda wote kwa mkeo ,kunasababisha thamani yako kupotea. Upendo wa mkeo kwako unapotea. Kuwa karibu na mkeo kila mara ni makosa.

Kumbuka Denis...Mwanadamu ukiheshimu na kukithamini kitu anachokipata kwa tabu na kukihangaikia kuliko kitu anachokipata kwa urahisi. Nenda kafikirie...Haya ninayokueleza.

DENIS: Asante sana Babu...nimejifunza mengi....nataka kuwa wa thamani sasa.

BABU: Nataka kukuaga....naomba nikupe wosia kuhusu wanawake....mwanamke anapenda shuruba kiasi, kunyanyaswa kidogo katika mapenzi. Sisemi usiwe romantic...bali kuwa kwa kiasi. Usipende kusikiliza kila kitu akisemacho kwa kukubali tu...atakudharau. Asante kwa kunisikiliza. KWAHERI

DENIS: Ooooh! Asante sana kwa elimu yako Babu..Nimejifunza na nina hakika naenda kuwa mtu mpya.

Hii nimeikwapua kwa mkuu Prosper Kimboka
 
Back
Top Bottom