Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

Uliyemfumania ndio yule uliyemuomba muende kujilockdown kwa siku 21?🤔🤔
 
FUKUZA WOTE WAKATIANE VIZURI KWA UHURU
Njo ni PM tuanze mapya baby maana na mie yamenitokea kama wewe
 
Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Unatokea Mwanza wewe?!
 
naona baharia kashtukiwa anyway hii tunaita ajali ya kimapenzi!
 
Yote Tisa...Kumi ivi mkuu ulifanikiwa kuji lockdown na mwanaume kipindi kile cha Corona kama ilivyokua nia yako??
 
Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Boy wako alikuja kwako..!!

Tatizo linaanzia pale unapodate na Boy..
My sister you are too old to date boys. It's time you start dating men, real Men.

Najua huu uzi ni chai, lakini acha kudate na wavulana, ni muda wakudate na wanaume sasa.
 
Tangawizi imekua Kali sana,af sukari umeeka kidogoo
 
Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Seems humpi mambo boy wako ndo maana umetufananisha wanaume na shetani.

Sasa tafuta malaika wakuoe
 
Ulikuwa unampa huduma inayotakiwa au ulikuwa unawahi kazini tu....asubuh angekuwa kapiga viwili nguvu za kwenda kwa mama mdogo angetoa wap?
 
Back
Top Bottom