Asante kwa angalizo!..Kabla ya watu kukupa ushauri ni vema wakapitia huu Uzi ili kujua wanatoa ushauri kwa mtu wa aina gani https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1716678/
Ni hayo tu
Dah wanaume Tuna Huruma Sana.
Nimeamua kushiriki Hii chai.
Dada mpole na mwenye hurumaDada wa 7800/=
Unatokea Mwanza wewe?!Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah wanaume Tuna Huruma Sana.
Nimeamua kushiriki Hii chai.
Baharia kaanza kula yai,alafu akamalizia kula na Kuku mwenyewe!!naona baharia kashtukiwa anyway hii tunaita ajali ya kimapenzi!
Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Boy wako alikuja kwako..!!Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Seems humpi mambo boy wako ndo maana umetufananisha wanaume na shetani.Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Uko sahihiBoy wako alikuja kwako..!!
Tatizo linaanzia pale unapodate na Boy..
My sister you are too old to date boys. It's time you start dating men, real Men.
Sent from my P30 using JamiiForums mobile app