cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadaye niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadaye nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.