Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

Mkuu mtoa mada na wewe kumbe yamekukuta. Nimeona bandiko lako unalalamika umemfumania mke wako na jirani yako wanabanjuana hadi ule mtandao pendwa. Pole sana, inaonekana mtaa wenu unatisha kwa mambo hayo.
 
We jamaa si ndo umeleta uzi wa kumtrack mkeo whatsapp na kumfumania?
 
Mkuu mtoa mada na wewe kumbe yamekukuta. Nimeona bandiko lako unalalamika umemfumania mke wako na jirani yako wanabanjuana hadi ule mtandao pendwa. Pole sana, inaonekana mtaa wenu unatisha kwa mambo hayo.
Hatari
 
We jamaa kiboko umemfuma mke wako analiwa baada ya kughaili safari tena ukamfuma na mke wajiran yako analiwa unabahati sana
 
Kausha mwana kwa sababu hujui jamaa anampenda mke wake kiasi gani,ukisema na jamaa akachukulia poa akaendelea na mke wake utaonekana choo!
 
Mwambie huyo kakako asipoamini shauri yake,ukweli utakuweka huru mkuu,ukishiriki kuficha uovu na wewe ni muovu,ukichelewa shemegi yako akikuwahi atakutilia fitna kali kwa mumewe hatakuamini n mtagombana vibaya mno.
 
Fanya umueleze haraka mno
kabla huyo mwanamke hajakuwahi
Tambua mke wake anaamini ww utasema kwa hiyo anawaza akuwahi vp
mf:akimwambia mumewe rafiki yko ananitaka
ww hata ukimueleza anacheat atakuelewa kweli
 
bora uonekane mbaya
pata picha huyo mwanke anamletea rafiki ako ukimwi halaf ulikuwa kimya kwa tabia za mke wke
Nafsi itakusuta sana
 
kaka umeongea nilichokifikiria
hakuna kitu nakichukia kama rafiki yangu anajua jambo baya nafanyiwa halaf haniambii aisee nikijua urafiki naua
 
Mwambie ajue kabisa bora ukweli mchungu kuliko uwongo mtamu au mtumie msg mweleze na namba ya MTU mwingine bila kujua .
 
Kwa uroho wangu hapo ningemwambia na Mimi anipe URODA ili nisimwambie broo
 
Pasua jipu tu , maana mke anauma asikwambi mtu, haya mambo yasikie tu au kuyaona kwa watu , omba yasikukute
 
Achana na hiyo habari maisha yaendelee au unateseka kwani?
 
wewe ni jinsia ya kike kwani, mbona umeandika kwa pozi huyu kaka unavyosema
 
Ngja niweke mambo sawa hapa

nakmbuka niliwah tongozwa na mke wa Jamaa langu kabisaaa kabla ya ktoa majbu ikabd nimshirkishe Best wangu ambaye huwa tunaeneza Group i mean watu wa3 Hyu jamaa yangu akasema Gonga maana ukimkataa Atamwambia jamaa kuwa umemtongoza na Jamaa/mume wake alkuwa kasafr kama miez 3 hv

Nikaona isiwe kes na Hyu mume/jamaa ytu alkuwa Boya sana kwa mke Yaan wa upendo wa kiwango cha juu

Nikaona isiwe kes nitamwambia tu liwalo na liwe Mara paap akarud nikwambia kila ktu aamn asiamn atajijua ili me nshamwambia

Alvyorud nilmwambia mwanzo mwisho Na akawepo Dgo mmoja hv akawa anamthibitishia na sms za ushahd nikamuonyesha,

Lakin jamaa alsamehe lakin Ndoa haikudum Na maana Mke alishangaa urafk wangu kwake ukawa mkubwa na kuniona mm ndo rafk wa kwl kwake kmbe skutongozwa peke yangu Weng waligonga had mama wa mwanaume aljua kuwa mama mkwe wake ni malaya lakin akavunga ili tu asionekane amevunja nilvyomwambia mm ndo kila mtu akapata ujasr wa kumwambia Alimchkia kila mtu aliye jua lakin hakumwambia had mama yake sku hz Hazpand


So Mtu anatendewa unyama ukakaa kimya na ww utakatendewa ubaya watu wakae kimya ili tu lile la Malipo ni hapahapa Dunian litimie


Sema ili yye ndo achague Kama hataamn sawa ili mrad ww umeshasema na aspo amn sku atakuja kuona mwenywe usishangae akaja kukuomba msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…