Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

Mkuu pambana na Hali yako mambo ya kufuatilia nyendo za watu si mazuri na hauwezi kuyamaliza katika jamii na hautakuja kujua sababu zilizopelekea hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umenikumbush class of ethics mweleze jamaa yako kila kitu kama uliivyoshuhudia!
 
Usimwambie uyo kaka yako ila mwambie uyo shemeji yako hiyo sio tabia na umwambie mimi nimetumia busara watakuona waropokaji utaharibu ndoa yako.
 
...............wakati naenda nikaona kama TOBO fulani unaweza ona ndani alafu kama vile kuna mtu, nikaamua kuchungulia, mwanamke sikuweza kumtambua haraka maana alikuwa kakaa mezani katoa nguo za chini kaamuangalia mwanaume aliyeshusha suruali kidogo, kama ka mlegezo fulani hivi, alafu mwanamke anafanya action ya kujisukumiza kwa mwanume , niliishiwa mood nikasema na hivi ni weekend ngoja naichek hii movie
tehe tehe tehe tehe tafuta ushahidi wa kutosha ndio umwambie usije geuziwa kibao
 
Aisee piga kimya tu af kuwa busy na maisha yako...maisha ni safari ndefu
Siku kama akikutaja utawaambia sikutaka kuyaingilia kuvunja ndoa yenu
 
DUNIA HAIARIBIWI NA WATENDA MABAYA ,,BALI DUNIA ITAARIBIWA NA WANAOTIZAMA WATU WANATENDA MABAYA ALAFU WAKAKAA KIMYA .

Upendo wako kwahuyo kaka utakua hauna maana ikiwa utamkalia kimya wakati nisuala linalohatarisha maisha yake .

Wewe nimwanamme ,unajielewa , Muite jamaa nende naye maeneo yambali kidogo jaribu kuongea naye kupitia maswali nakisha mweleze .

Asiposadiki achana naye we umefanya yako . kuna Siku atakushukuru ...... Nilichoumia nipale unaposema anasomesha wadogo wamkewe ,,kalipa 7 M , anamsaidia kila hitaji lake .

Ningekua Mimi kaka yako alafu nikajua kua naww ilikua unajua ,,kwanza undugu ungekwisha ( sipendi mtu anayeoona amtope usoni MWANGU alafu haniambii ).

Ningefukuza mwanamke aende Kwa bosi wake wakale raha... Akishapigwa chini ndo arudi..

Katika maisha nilazima tujifunze kutiruhusu kuumizwa nakutoruhusu kuwazishwa .....
Hehhe ujue kuachana napo inategemea... Ukimpenda mtu na umetoka nae mbali na mna familia sio maamuzi mepesi... Mda mwingine bora kutojua tu
 
Hehhe ujue kuachana napo inategemea... Ukimpenda mtu na umetoka nae mbali na mna familia sio maamuzi mepesi... Mda mwingine bora kutojua tu
Sawa ,, kwaiyo unataka siku jamaa akuombe ushauri kuhusu afya yake???? Ndo useme mke wako alikua anachepuka ??? Au utakaa kimya???
 
Kama hautaongea na jamaa.ni vizuri ukaongea na shemeji yako umpige mkwara kwamba ukimshika tena hautamvumiliana na unamfatilia nyendo zake.fanya hivyo kunusuru ndoa
 
Sawa ,, kwaiyo unataka siku jamaa akuombe ushauri kuhusu afya yake???? Ndo useme mke wako alikua anachepuka ??? Au utakaa kimya???
Wanaochepuka wote wanapataga ukimwi???!!
Mi ngekaa kimya tu.,mana ukisema huo mtafaruku sio wa nchi hii
 
Wanaochepuka wote wanapataga ukimwi???!!
Mi ngekaa kimya tu.,mana ukisema huo mtafaruku sio wa nchi hii
Nani kakuambia magonjwa ya ya zinaa niukimwi tu ????

Anyway ,, wewe mume wako akiwa anatembea na mfanyakazi wako utajisikiaje ???
 
Nani kakuambia magonjwa ya ya zinaa niukimwi tu ????

Anyway ,, wewe mume wako akiwa anatembea na mfanyakazi wako utajisikiaje ???
Vibaya sana..ila kama kaficha na anafanya bidii kuficha sio kesi..hao malaika wakuishi nao mnawataka kutoka wapi...ni ishu kama usaliti ni very open..mapenzi yanakosa maana
 
Vibaya sana..ila kama kaficha na anafanya bidii kuficha sio kesi..hao malaika wakuishi nao mnawataka kutoka wapi...ni ishu kama usaliti ni very open..mapenzi yanakosa maana
Well ,, naktika kufanya bidii yakuficha ,,lkn ndugu yako wakaribu akawa anajua ,.... Sasa vipi utakayojua kua mumeo anachepuka naukajua pia kua Dada yako naye anajua mumeo mchepukaji ila hakuwah kukuambia ,,VP utamuonaje Dada yako ???
 
Ntamuelewa kwamba hakutaka kuniumiza
 
Duh. Wanaume wa dar bwana kwa umbea.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Back
Top Bottom