Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa kimya kabisa usithubutu kuongea chochote juu ya hilo jambo iko siku tuu atajichanganya kwa mumewe na atakamatwa ila usihusike wewe na kukamatwa kwake.yaan umeongea point kama nayowaza big up kwa kuona mbali
Da huyu jamaa si Wa kispoti spoti, yaani kukaribisha barazani anachungulia chumbani!! Akikaribishwa sebuleni atalala kitandani.Aiseee Una nguvu na ujasiri saaana, uende tu kwenye nyumba ya mtu uanze tu kuchungulia kwenye madirisha ya Watu!!! Hii Kali Sana, jiepushe na hii tabia Sio nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke Mungu anamuona, mtu kujipinda kote kumsaidia hayo ndio malipo yake!??
Mpe tahadhari huyo kaka yako awe makini na mienendo ya mwanamke wake..
Kwa ushauri huu inaonesha weye huenda umewahi kumtamani huyu mwanamke akakutoa baru. Yaani amwambie kakake kuwa alimkuta shem akiliwa naniiii?? Shame on yu. Mwambie aende kwa shem amsikilize asemalo. Unataka aende kujiletelezea uadui kwa kakake??
Usilolijua sio lako bali ni la Mungu mwenyewe. Ayaache yaendelee hadi kikombe cha huyu mwizi kifurike. Ikiwezekana, ahame mtaa kabisa. Ati huyu mwanamke Mungu anamuona. Unaijua mithali; Utavuna unachopanda?? Wajuaje pengine huyo bwana kaka kama naye ni mwizi wa wake za watu?? Jiulize, kwa nini hamtoshelezi mkewe??
Kwani unregistered lines hazitumi meseji??sauti ataijua labda ninunue line alafu nimpe mtu amweleze au nitumie sms
Hapo kupona kwako inabidi nawe ule huo mzigo umshikishe kisawasawa ili wewe na huyo mke ndo mnaweza kuifanya siri,maana utapewa FREE OF CHARGE. vinginevyo hiyo Kesi ikikugeukia ndugu hutaiweza kuizima zaidi ya aibu na umbea wako.tatizo naye anawez asiamini, lakin nahisi hata mwanamke anaweza nisingizia kuwa namtaka mimi, yaan ili,kuniwahi, ila ntajua tu, maana ndo mbinu zao
Mimi habanduki home...atalinda goli na degree yake hadi nitakapomfungulia duka akae tu hapo.yaani wanawake wanakatisha tamaa unaweza sema awe alinde goli home milele