Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

dah hawa wenzetu udhaifu wao Mungu mwenyewe ndo anajua usipo kuwa na maamuzi magumu ni bora ujifanye kuna vitu huvioni kuna mawili uwe mjanja wake au boya wake
 
Mwambie shemeji yako amrudie mwenyezi mungu, na aachane na tabia mbaya isiyompendeza mungu.
Mwambie kbsa kuwa hutomwambia kaka yako kilichotokea ila aache huwo mchezo mchafu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilikuwa na misele yangu kwenye gari nikiwa naendesha polepole na kioo nimeshusha.
Ghafla jamaa naona anatokea mbele yangu akasimama kidogo akaendelea na mbio, kumbe anafukuzwa na jamaa wawili

Wakinipigia kelele nimkamate lakini haikuwa hivyo.
Waliponifikia nikawauliza kulikoni wakasema tumemfumania akiwa na mke wa mzee fulani, Mimi nikawa nimeduwaa jamaa haoooo wakaenda kumwambia yule mzee ni mzee over 70
Unajuwa aliwajibu nini wale vijana



Haliwahusu
 
DUNIA HAIARIBIWI NA WATENDA MABAYA ,,BALI DUNIA ITAARIBIWA NA WANAOTIZAMA WATU WANATENDA MABAYA ALAFU WAKAKAA KIMYA .


Upendo wako kwahuyo kaka utakua hauna maana ikiwa utamkalia kimya wakati nisuala linalohatarisha maisha yake .

Wewe nimwanamme ,unajielewa , Muite jamaa nende naye maeneo yambali kidogo jaribu kuongea naye kupitia maswali nakisha mweleze .

Asiposadiki achana naye we umefanya yako . kuna Siku atakushukuru ...... Nilichoumia nipale unaposema anasomesha wadogo wamkewe ,,kalipa 7 M , anamsaidia kila hitaji lake .

Ningekua Mimi kaka yako alafu nikajua kua naww ilikua unajua ,,kwanza undugu ungekwisha ( sipendi mtu anayeoona amtope usoni MWANGU alafu haniambii ).

Ningefukuza mwanamke aende Kwa bosi wake wakale raha... Akishapigwa chini ndo arudi..

Katika maisha nilazima tujifunze kutiruhusu kuumizwa nakutoruhusu kuwazishwa .....
 
Aiseee Una nguvu na ujasiri saaana, uende tu kwenye nyumba ya mtu uanze tu kuchungulia kwenye madirisha ya Watu!!! Hii Kali Sana, jiepushe na hii tabia Sio nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Da huyu jamaa si Wa kispoti spoti, yaani kukaribisha barazani anachungulia chumbani!! Akikaribishwa sebuleni atalala kitandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke Mungu anamuona, mtu kujipinda kote kumsaidia hayo ndio malipo yake!??

Mpe tahadhari huyo kaka yako awe makini na mienendo ya mwanamke wake..

Kwa ushauri huu inaonesha weye huenda umewahi kumtamani huyu mwanamke akakutoa baru. Yaani amwambie kakake kuwa alimkuta shem akiliwa naniiii?? Shame on yu. Mwambie aende kwa shem amsikilize asemalo. Unataka aende kujiletelezea uadui kwa kakake??
Usilolijua sio lako bali ni la Mungu mwenyewe. Ayaache yaendelee hadi kikombe cha huyu mwizi kifurike. Ikiwezekana, ahame mtaa kabisa. Ati huyu mwanamke Mungu anamuona. Unaijua mithali; Utavuna unachopanda?? Wajuaje pengine huyo bwana kaka kama naye ni mwizi wa wake za watu?? Jiulize, kwa nini hamtoshelezi mkewe??
 
Kwa ushauri huu inaonesha weye huenda umewahi kumtamani huyu mwanamke akakutoa baru. Yaani amwambie kakake kuwa alimkuta shem akiliwa naniiii?? Shame on yu. Mwambie aende kwa shem amsikilize asemalo. Unataka aende kujiletelezea uadui kwa kakake??
Usilolijua sio lako bali ni la Mungu mwenyewe. Ayaache yaendelee hadi kikombe cha huyu mwizi kifurike. Ikiwezekana, ahame mtaa kabisa. Ati huyu mwanamke Mungu anamuona. Unaijua mithali; Utavuna unachopanda?? Wajuaje pengine huyo bwana kaka kama naye ni mwizi wa wake za watu?? Jiulize, kwa nini hamtoshelezi mkewe??

Khaaa unaongea sana..
 
sio mkeo kweli, maana mnapenda kuweka nafsi ya tatu [emoji23] [emoji23]

n0 r0se with0ut th0rn
 
tatizo naye anawez asiamini, lakin nahisi hata mwanamke anaweza nisingizia kuwa namtaka mimi, yaan ili,kuniwahi, ila ntajua tu, maana ndo mbinu zao
Hapo kupona kwako inabidi nawe ule huo mzigo umshikishe kisawasawa ili wewe na huyo mke ndo mnaweza kuifanya siri,maana utapewa FREE OF CHARGE. vinginevyo hiyo Kesi ikikugeukia ndugu hutaiweza kuizima zaidi ya aibu na umbea wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukaa kwa kaka zenu, kuchunga wake zao, mwisho wa siku mnabaka hata watoto.
 
Mkuu bhana we kausha tu, unaweza mchomea then ukaharubu maisha ya watu na familia zao.
Nadhani hiyo is none of your business mkuu. We pambana na maisha, mambo yasonge.
 
Mambo ya wanandoa waachie wenyewe mkuu kama atakuja agundue kaka ako watamalizana wenyewe,katika harakati za kutafta maisha nmekaa kwa binamu yangu kwa muda(kama mwenyeji wangu)ambaye ameolewa na mume wake yupo vzr tu kiutaftaji na hakuwa mtu wa kukaa home,shughuli zake alifanyia mgodini kuna wakati alikuwa anamaliza hata wiki anarudi,huku nyuma mwanamke(binamu yangu)alichepuka apendavyo tena na marafiki wa mume wake.Niliyajua hayo yote kwa kuyashuhudia kwa maji lkn sikuwahi kuhisi kama yalikuwa yananihusu maana nilikuwa busy na mambo yangu,mpk naondoka hapo walikuwa shwari wanaendelea na maisha yao.Siku wakifumaniana watajua wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom