Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.

Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.

Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno

Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.

Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.

NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE

je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
 
1750518537520.jpg
 
Subiri kuachwa mjomba.
 
Yani umempa mtu afanye kazi halafu unaanza kudokoa pumbavu

Biashara unasema Ina faida ya 100,000 Kwa mwezi maana yake ni 3,300 Kwa siku halafu wewe unaenda kuzoa mikopo. Acha ujinga.

Mke wako sio ndugu yako. Pesa ya mwanamke ni ya kwake. Na pesa yako ni ya kwenu nyote. Ili mradi umezaa nae hawezi kulaza watoto wake njaa akiwa na pesa. Wewe jitafute kimpango wako.
 
Ilishawahi kunikuta hiyo, baishara ikawa tamu nikakodi mpaka stoo ya mizigo kwa ajili ya bidhaa. Baadae nikanasa kadi ya benki nisiyoitambua, baadae jeuri zikaanza.
Nikaamua kumweka kando, alikuwa akinitafuta kila mara na sikutaka tena usumbufu.

Nilichogundua wanawake wengi wanafosi kuwa watiifu kwa waume zao kwa kuwa tu hawana njia mbadala wa kiuchumi.

Mimi mwanamke na mthamini tu kwa kuwa ananilelea familia yangu ila sina expectations kubwa sana kwake, anytime akitaka kuleta shida the door is open, sitaki ndoa ya maigizo mimi.
 
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.

Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.

Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno

Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.

Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.

NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE

je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Sema hilo ni shetani wanawake wa binafsi kama hao wapo wengi sana sema wewe filisi au taifisha biashara kisha lipige chini liwe single maza litembeze kitumbua chake na mashetani wenzake
 
Back
Top Bottom