Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Subiri kuachwa mjomba.Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Hatari sanaNIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
Sema hilo ni shetani wanawake wa binafsi kama hao wapo wengi sana sema wewe filisi au taifisha biashara kisha lipige chini liwe single maza litembeze kitumbua chake na mashetani wenzakeLeo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Mbona unajitisha MkuuKabila la huyo mwanamke ni lipi? Kama ni kutoka kanda ya Kaskazini hasa Arusha na Kilimanjaro andika maumivu