nellysony jack
Member
- Jan 9, 2013
- 16
- 2
Huu utoto sasa.Niaje wazeiyaaah..
MKO Bwaxx....
Kesho lazima Ronaldo achukue ndoo ile kwan ni muhim kwenye mchakato wa ballon dor 2016 ambayo obvious kajamaa kanachukua (Messi tupa kuleee)
Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo (sio zile za Sports HQ ya 93.7 FM)
Sasa issue iko hivi mazee :
Leo asubuhi nimemgonga mke wa bro wangu...
Nimefunga chuo nimekuja dar likizo kwa bro huku kibada kigamboni..
Ebanaee, leo jmosi bro huyooo kutafuta pesa, hana weekend wala ckukuu (ana ki frame pale kariakoo)
Mle ndan kuna ki baskeli nikakitoa nikawa napiga zoezi nacho...
Sasa ile namalizia round ya mwisho (ya nne) naingia hivi getini kumbe shem anatoka kwenda kumwaga taka taka....
EBANA Eee nikamkwarua na steringi ya baskeli kachubuka mkononi...
Hata hivo damu hazijatoka..
USHAURI :
Tuwe makin tunapo fanya mazoezi mazee.....
Tchaoooooo
daah basi kesho portugal ndoo wataishia kuingalia tu hawatoigusa
[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]watot wa certifcat CBE hawa
Kwani neno kugonga kwako linamaanisha nini mpaka ujiandae kiviiiiile kukutana na jambo lingine?aaarrrk. Nimejiandaa kisaikolojia kwa jambo lingine, nimeliona linguine. Mood imepotea...
Wakapimwe akili kabla ya kujiunga Jf. Uwepo usaili maalumu. Otherwise Jf inapotea mdogomdogo...Hahaa,,ww jamaa ******,kweli
Ndiyo huyo huyo,kwao mombasa au uanaweza ita mwambasaHuyu sio wa Kwenye Kipindi cha take one kilichozua gumzo hapa mjini Naomba kujibiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niaje wazeiyaaah..
MKO Bwaxx....
Kesho lazima Ronaldo achukue ndoo ile kwan ni muhim kwenye mchakato wa ballon dor 2016 ambayo obvious kajamaa kanachukua (Messi tupa kuleee)
Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo (sio zile za Sports HQ ya 93.7 FM)
Sasa issue iko hivi mazee :
Leo asubuhi nimemgonga mke wa bro wangu...
Nimefunga chuo nimekuja dar likizo kwa bro huku kibada kigamboni..
Ebanaee, leo jmosi bro huyooo kutafuta pesa, hana weekend wala ckukuu (ana ki frame pale kariakoo)
Mle ndan kuna ki baskeli nikakitoa nikawa napiga zoezi nacho...
Sasa ile namalizia round ya mwisho (ya nne) naingia hivi getini kumbe shem anatoka kwenda kumwaga taka taka....
EBANA Eee nikamkwarua na steringi ya baskeli kachubuka mkononi...
Hata hivo damu hazijatoka..
USHAURI :
Tuwe makin tunapo fanya mazoezi mazee.....
Tchaoooooo
Mwanachuo huyu kaka, eeh hapa Tanzania ya viwnda ikombioni.Ko hii nayo umeona ni ya kuileta umu?
Niaje wazeiyaaah..