Nimemgonga mke wa bro leo asubuhi

Nimemgonga mke wa bro leo asubuhi

Safi sana,siku nyingine uwe unaenda kumsaidia
kaka yako kule dukani,Usipende kula msosi ambao
malipo yake ni SHIKAMOO.
Haya mwenye nyumba umemgonga hivi chai umekunywa kweli?
 
mkuu acha k2zngua.. lete ctor mpya ynye kchwa ch hbar hkohko
 
Inabidi JF mods wabadilishe njia za kuregister raia maana naona magreat thinkers wa sasaivi tofauti na wa miaka ya nyuma.
Naona hawatumii ubongo wa mbele ktk kufikiri
 
ahahaaa hiki kichwa cha habari.....kilinifanya nisome story .....kumbe daaaah umemgonga na baskel
 
Hivi....
Umekunywa beer ama viroba[emoji34]
 
Na utakufa tu, kwel mlivoitwa vilaza hamjakosewa yaani umefunga chuo ndo ukaona uandike uj.....
 
Niaje wazeiyaaah..
MKO Bwaxx....

Kesho lazima Ronaldo achukue ndoo ile kwan ni muhim kwenye mchakato wa ballon dor 2016 ambayo obvious kajamaa kanachukua (Messi tupa kuleee)

Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo (sio zile za Sports HQ ya 93.7 FM)

Sasa issue iko hivi mazee :
Leo asubuhi nimemgonga mke wa bro wangu...

Nimefunga chuo nimekuja dar likizo kwa bro huku kibada kigamboni..
Ebanaee, leo jmosi bro huyooo kutafuta pesa, hana weekend wala ckukuu (ana ki frame pale kariakoo)

Mle ndan kuna ki baskeli nikakitoa nikawa napiga zoezi nacho...
Sasa ile namalizia round ya mwisho (ya nne) naingia hivi getini kumbe shem anatoka kwenda kumwaga taka taka....
EBANA Eee nikamkwarua na steringi ya baskeli kachubuka mkononi...
Hata hivo damu hazijatoka..

USHAURI :
Tuwe makin tunapo fanya mazoezi mazee.....

Tchaoooooo
kwa hiyo umemgonga shem umeona haitoshi ukaamua umgonge na baiskeli haya bhana
 
Huyu atakuwa Mwanafunzi Uchwara au kiiazi kama sio kilaza kwa mujibu wa Raia namba moja wa nchi hii Mkazi wa Magogoni.
 
Dah! Kweli jamii forum ina watu[emoji15]
 
Utakuwa Dodoma tarehe 23 Julai na VIR**A wenzio ili kuvuruga mkutano wa CCM? Kama ndio, poa, we'll meet there.
 
Back
Top Bottom