LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Kijana mmoja baada ya kumaliza masomo yake ngazi flani wakati akisubiria ajira ana amua kujiingiza katika kilimo cha mahindi na maharage,
Anakodi shamba lenye ukubwa wa
heka 3 =240,000/
kufukua kwa trekta=120,000/
mbegu mifuko 9=108,000/
mbolea kilo 75=105,000/
vibarua wa kukatia mahindi heka 3=75,000/
anapalilia heka 2 moja anatoa kibarua =25,000/
wakaja kantangeze anatumia dawa yenye thamani ya =18,000/
palizi ya pili anatoboa heka 1 mbili anatoa kibarua =60,000/
Bahati nzuri alichanganya maharage kweny mahindi muda wa kuvuna maharage unawadia,
Anapata njano goroli gunia 3 gharama za kuvuna kubeba na mifuko ya kuhifadhia =9,000/
muda wa kuvuna mahindi unawadia gharama za kuvuna heka 3 =60,000/
kubeba mpaka nymbani kwa mkokoteni wa kuvutwa na wanyama =20,000/
anapukuchua kwa kutumia mashine anafanikiwa gunia 36 jumla za mahindi, mwenye masine anmchaji gharama za huduma ya kupukuchua kila gunia =1,200x36=43,200/
gharama ya mifuko ya kuhifadhia 36x700=252,00/
Jumla ya gharama za kilimo ni 908,400/
Kwasababu mwenye shamba anataka tena kukodisha shamba lake hivo kijana hana budi kukodi tena shamba hilo ili kulima tena mwaka ujao,
Hivo wakati mahindi yakiwa hayajapanda bei gunia moja linauzwa =55,000/ anauza magunia matano ili alipie shamba lisichukuliwe na wengine anapata jumla ya 275,000/
anabaki na chenji ya 35,000/
MUNGU sio athumani muda wa masika una karibia mazao yanapanda bei
Gunia moja ya mahindi inanunuliwa kwa 65,000/
kijana anaamua apeleke mjini kwa kutumia gari za usafirishaji mazao akauze sokoni
anafikisha mjini anakuta bei ni 75,000/ gunia moja
anauza magunia 31 ya mahindi anapata kiasi cha pesa =2,325,000/
anauza gunia tatu za maharage gunia moja =160,000x3=480,000/
Kijana anakuwa na pesa jumla ya shiling 2,805,000/
anadaiwa nauli ya kila gunia kulifikisha mjini ni 4,000x34=136,000/
ushuru wa kusafirisha mazao kwa kila gunia ni 2,000x34=68,000/
Baada ya kulipa malipo yote aliyodaiwa anabaki na kiasi 2,601,000+35,000/=2,360,000/
kijana anataka kurudi tena shambani,
Nawasilisha, kwani nimekosea wapi hapo wadau mbona kilimo kinaonekana kinafaida tu😂😂