Nimemisi kugombana na mwandani wangu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Mwandani wangu yuko mbali, moja ya kitu nimekumbuka ni kugombana na kubishana. Nawaza nimtafutie chanzo tugombane hata kwa simu kisha baada ya siku 3 nimbembeleze yaishe.

Nimpigie simu usiku kalala kisha asubuhi nikiwashe kwanini hajapokea simu.

Ni hayo tu.
 
kila watu na aina ya mapenzi yao, mi nilikua napenda tukibishana ila ni kwasababu hakua muongeaji, sasa wewe sababu ni ipi? au ndo fantasy yako?
 
ibilisi akujaalie hayo uyatakayo hata utimilifu wa nyakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…