Nimemisi kugombana na mwandani wangu

Nimemisi kugombana na mwandani wangu

Kitaalamu zinaitwa nyege! Fanya mchakato mkachakatane
 
Kwani kuoa ni kufanyaje? Sio kulala na dem ghetto?
Aiseeeh,kwahiyo muheshimiwa ukilala na demu ghetto ndio tayari umeoa?🤣🤣

Bhas kuna vijana wanamiliki wanawake(wameoa) wengi sanaaa
 
Mwandani wangu yuko mbali, moja ya kitu nimekumbuka ni kugombana na kubishana. Nawaza nimtafutie chanzo tugombane hata kwa simu kisha baada ya siku 3 nimbembeleze yaishe.

Nimpigie simu usiku kalala kisha asubuhi nikiwashe kwanini hajapokea simu.

Ni hayo tu.
Naomba kukusaidia kama ni wakike huyo mwandani nipee namba yake
 
Mwandani wangu yuko mbali, moja ya kitu nimekumbuka ni kugombana na kubishana. Nawaza nimtafutie chanzo tugombane hata kwa simu kisha baada ya siku 3 nimbembeleze yaishe.

Nimpigie simu usiku kalala kisha asubuhi nikiwashe kwanini hajapokea simu.

Ni hayo tu.
we mwambie ikifika usiku akupigie simu akapiga sasa wewe kata simu alafu mtumie meseji ( AMELALA) alafu zima simu lala..

utakuja kunishkukuru baadae
 
Mwandani wangu yuko mbali, moja ya kitu nimekumbuka ni kugombana na kubishana. Nawaza nimtafutie chanzo tugombane hata kwa simu kisha baada ya siku 3 nimbembeleze yaishe.

Nimpigie simu usiku kalala kisha asubuhi nikiwashe kwanini hajapokea simu.

Ni hayo tu.
Utabondwa Hilo bichwa hadi uote mapunye
 
Back
Top Bottom