Wewe bado una hang'over za Marry Hunbig sio bure, yaani hadi leo hujaweza kunitofautisha mimi na Bishanga ?
unachokitafuta mie simo
mh! Siamini kama Vin Diesel ni mshiriki
Baba V,umeniita?Wewe bado una hang'over za Marry Hunbig sio bure, yaani hadi leo hujaweza kunitofautisha mimi na Bishanga ?
stevoh huna maana kabisa aise
yaani kujificha kwako kote ndo unakuja na dongo kama hili
Baba V,umeniita?
Nipo dada ladyfurahiaulipotelea wapi wewe jamani nimekumiss ile mbaya
ladyfurahia nawapenda sana watoto wangu aise maana ndio kitu cha thamani maishani mwangu na ukatili kama huo najua hauwezi kufanyika
najua stevoh alichokoza mjadala tuu kuonyesha hali halisi ya baadhi ya malezi ya wazazi
Nipo dada ladyfurahia

mzima mama..
vipi mkuu mzima wewe..