Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
hehe...wewe Mamndenyi.....kulikoni kutaka kuniibua mwezi huu mie naomba maghufira kwa maulana...
mzima mama..
ladyfurahia hayo hayapo kwangu bana hata stevoh anajua japo anajifanya kichwa ngumu kunipiga madongo
Vin Diesel umekuja eeh
wake zako wote wameshaolewa,
hata uliyempata mwishoni Lady doctor naye kaolewa.
Vin Diesel umekuja eeh
wake zako wote wameshaolewa,
hata uliyempata mwishoni Lady doctor naye kaolewa.
sina maana na wewe ulianzishee
ebooo
tafuta upenyo wako na wewe
uwashe moto wako
using'ang'anie kuchochea wa Wenzako
umemmisi nani eee
copy Arushaone
Nawatazama tu.
wewe ndo umetype au mimi???
mimi.... Nilikuwa nataka niandike nimem-miss Arushaone! Nashangaa nikaandika Vin Diesel......!