donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
me sijaelewa ufafanuzi tafadhali
Ukielewa na mie naomba unieleweshe
naona yuko anaandaa notes
yakoboleweEwiiiiii............
Yanyukweeee..........
Daah, salam wakuu! habare za weekend? kwa wale wa mambo yetu yaleee watakua wanaelewa namaanisha nini hapa. haya basi mtaalam mmoja wa chenja aweke kitu basi tusuuze nyoyo zetu!
umepiga viroba eeeEwiiiiii............
Yanyukweeee..........
Daah, salam wakuu! habare za weekend? kwa wale wa mambo yetu yaleee watakua wanaelewa namaanisha nini hapa. haya basi mtaalam mmoja wa chenja aweke kitu basi tusuuze nyoyo zetu!