Nimemiss Chenja

Nimemiss Chenja

ligoma talala ligoma...ukiwa mzembe majeshi huwezi mama wee...

ligomaaa ligomaaa ligoma linalia eeh eeh

we dada umevaa kimini mita.ko ndembe ndembe kumbe lina ngoma mama wee

ligoomaaa ligomaa ligomaaa linalia eeh.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Waliwasha moto kule Changarawe manwoter alitamani awe manmchanga siku ile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule baba bwana
 
kurutuuuuuuu we laaaaalaaaaaa tuuuu.....
Si ulikuja kulala we lalaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siwezi sahau afande alikuwa anajiita kero alikuja kuamsha boys akapuliza kipyenga Mara moja akakimbilia kombania wote ngorongoro tulishona kwa kuchelewa kufoleni ila hapo kila mtu anatukana kimoyomoyo angekuwa anasikia sijui ingekuwaje
 
afande kerooo nlikua sikapendiiiii kale yani kakija kombania etu nachomoka mdogo mdogo....kana sifa balaaa
 
Back
Top Bottom