radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Nilipoambiwa kumbe tumeanza 6 weeks kuwa hakuna kulala nilikuwa siamini amini,afande kuruta huwa haamini mpaka atoke damu
Mi baada ya ufunguz nkajua tutalala baada ya uchovu nkashangaa saa nne usuku ndo kwanza yanaanza mvua kubwa ilinyesha hakuna kuturuhusu tujifiche balaaa