Nimemiss Chenja

Nimemiss Chenja

Ilikuwa 2014 Denger coy aisee ile baridi vizazi vyangu nitasimulia
hahahaha mimi ilikuwa 2015... nilikuwa eagle coy.... daah hatar sana ile barid inapiga kwenye upara bila mzura mambo hayaendi
 
Na Mzee wenu kipingu siku alikuja kukinukisha pale d coy palikuwa pafinyu hatari
mwaka wetu mambo yalianzia Eagle coy, siku za mwanzo tulikula kazi hadi tukaona kambi ngumu.. majiran zetu d coy wanapoenda kulala sisi ndo tunaanza doso....
daah ghafla kibao kikabadirika... d coy walikuwa wanakula doso had hawajielew... kwa barid lile la mwez wa saba halafu mtu anapigwa nua
 
Aiseee kunajamaa alipigwa nua akakata moto alifichwa kwenye anga mpaka akapona maana wakubwa wangejua wale jamaa waliohusika wangeenda kukunja ngumi pale mapokezi kinachofata baada ya hapo nadhani kila mtu anakijua
 
Pale kwenye kokoto, upande wa kulia mbele kidogo ya super market.
 
Pale ni shida unakuta bakabaka anatoa machozi vitu vya ajabu kupata kushuhudia jeshini
nishawah kula stiki pale daah na washkaji zangu halafu kosa hadi leo sijajua..... tulikuwa tumetoka kupakia kuni kweny lile gari la kuni kufika pale MP akaamuru tushuke, tukashona, tukaweka nyungu juu, halafu tukala stiki nzito..... kosa sijajuaga had leo
 
Waiiiii hebu tokeni wewe na mumeo.....[emoji17] [emoji6]
Me kuna afande mmoja wakati nipo mzalendo sasa kwenye kupima damu nikachelewa me na mwenzangu kwa sababu naogopa kuchomwa sindano!!!! Tukatafutwa had tukapatikana kufika pale tukala makofi ya nguvu af nna upara mixer mbele ya madem!!! Nliumia kisenge af aibu sasa nimepigwa mbele ya madem nkasema fresh!!!
Nlivokuja kuwa karani yule afande sikumsahau na vile alipangwa coy moja na mm,nlkuwa simkosi zamu ya o/d mara kwa mara hata mara 3 kwa week bila kusahau nlkuwa namlaza nje daily kwa kumgonga detail za nguvu!!!! Mpaka mwenyewe akaja kuomba yaishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea kuwa karani wewe!!! Kila akienda kusoma detail yumo!!!
 
Back
Top Bottom