kumbe ulikuwa mafinga....kurutuuuuuuu we laaaaalaaaaaa tuuuu.....
baba yanaharibu kazi babaaaaNaona kuruta mnafanya yenu
hahahaha kwa mzabuni hapo.... ukisikia hivyo ujue hiyo luti mtakayopewa ni ya hatari kudadeki....Mwakii yapeleke kinyanambo
Ilikuwa 2014 Denger coy aisee ile baridi vizazi vyangu nitasimuliammh subir kwanza....
ulikuwa pale mwaka gani na coy gan?
kudadeki asubuhi barid hatari
hahahaha mimi ilikuwa 2015... nilikuwa eagle coy.... daah hatar sana ile barid inapiga kwenye upara bila mzura mambo hayaendiIlikuwa 2014 Denger coy aisee ile baridi vizazi vyangu nitasimulia
Na Mzee wenu kipingu siku alikuja kukinukisha pale d coy palikuwa pafinyu hatarihahahaha mimi ilikuwa 2015... nilikuwa eagle coy.... daah hatar sana ile barid inapiga kwenye upara bila mzura mambo hayaendi
mwaka wetu mambo yalianzia Eagle coy, siku za mwanzo tulikula kazi hadi tukaona kambi ngumu.. majiran zetu d coy wanapoenda kulala sisi ndo tunaanza doso....Na Mzee wenu kipingu siku alikuja kukinukisha pale d coy palikuwa pafinyu hatari
Aiseee kunajamaa alipigwa nua akakata moto alifichwa kwenye anga mpaka akapona maana wakubwa wangejua wale jamaa waliohusika wangeenda kukunja ngumi pale mapokezi kinachofata baada ya hapo nadhani kila mtu anakijuamwaka wetu mambo yalianzia Eagle coy, siku za mwanzo tulikula kazi hadi tukaona kambi ngumu.. majiran zetu d coy wanapoenda kulala sisi ndo tunaanza doso....
daah ghafla kibao kikabadirika... d coy walikuwa wanakula doso had hawajielew... kwa barid lile la mwez wa saba halafu mtu anapigwa nua
Pale kwenye kokoto, upande wa kulia mbele kidogo ya super market.Aiseee kunajamaa alipigwa nua akakata moto alifichwa kwenye anga mpaka akapona maana wakubwa wangejua wale jamaa waliohusika wangeenda kukunja ngumi pale mapokezi kinachofata baada ya hapo nadhani kila mtu anakijua
Pale ni shida unakuta bakabaka anatoa machozi vitu vya ajabu kupata kushuhudia jeshiniPale kwenye kokoto, upande wa kulia mbele kidogo ya super market.
Hivi unaijua mgambo wewe au unaisikia?Hamjakesha nyie waulizeni awamu ya kwanza 821 kilicho wapata
nishawah kula stiki pale daah na washkaji zangu halafu kosa hadi leo sijajua..... tulikuwa tumetoka kupakia kuni kweny lile gari la kuni kufika pale MP akaamuru tushuke, tukashona, tukaweka nyungu juu, halafu tukala stiki nzito..... kosa sijajuaga had leoPale ni shida unakuta bakabaka anatoa machozi vitu vya ajabu kupata kushuhudia jeshini
Me kuna afande mmoja wakati nipo mzalendo sasa kwenye kupima damu nikachelewa me na mwenzangu kwa sababu naogopa kuchomwa sindano!!!! Tukatafutwa had tukapatikana kufika pale tukala makofi ya nguvu af nna upara mixer mbele ya madem!!! Nliumia kisenge af aibu sasa nimepigwa mbele ya madem nkasema fresh!!!Waiiiii hebu tokeni wewe na mumeo.....[emoji17] [emoji6]
eagle coy makamanda...watto wa maji ya pwan,merimeri,afande patty[emoji16]hahahaha mimi ilikuwa 2015... nilikuwa eagle coy.... daah hatar sana ile barid inapiga kwenye upara bila mzura mambo hayaendi
ilikuwa ikifika saa mbili naenda kulala mtonieagle coy makamanda...watto wa maji ya pwan,merimeri,afande patty[emoji16]
Duh, we jamaa wewe!!kamzinga kale,kamebeba nyama ya bure
kale
kale
kamebeba nyama ya bure......
duuh...vitu vyangu hvo kabsa nlkua doja [emoji23] [emoji23] [emoji23]ilikuwa ikifika saa mbili naenda kulala mtoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku moja nimeenda mtoni saa moja kuja kuamka saa saba usiku duuuuuh noma sana peke yangu msituni sema ndo hivo time hiyo nimejaa roho ya kikurutu siogopi kituduuh...vitu vyangu hvo kabsa nlkua doja [emoji23] [emoji23] [emoji23]