Nimemiss Chenja

Selina Selina,
Selina Selina,
Uongo wako Selina...

Ulimdanganya afande (uongo wako Selina)
Akalala mlango wazi (uongo wako Selina)...


Good ooold days....ninachoshangaa ni hizi nyimbo hazizeeki tuliimba huko 90's na nyie wa 2000's bado mmeziimba..CD haichuji wala hai-scratch!!!


Mama nipokee,
Nimechoka zangu na safari,
Nimetoka zangu Msumbiji,
Na bunduki yangu mkononi (mama)...
 
Amba mama eeeh ( ambaaa)
Amba eeeeeeh (ambaaa )
Amba mama eeh (ambaaa )
Amba manyekunyeku (ambaaa)
Amba mselule (ambaaa)

Hahaha mbali saana tunatoka yombo to kalunde wale wa rsm mwaipungu watanielewa
ulipigiaaa MSANGE TBR nn
823kj?
 
Mama mwenye nyumba kulewa lewa ovyo kisiki cha mpingu kimemchoma huyo ×2 Huyo muongo huyo muongo huyo... jana kato.mbw huyo kato(mb)w huyooo......
 
mama TPD...mama napenda jeshi×3

jeshiiiii moraliiii eeeeh...

aiya iya mama(aiya iya)×3

jeeeeshiii moraliii eeeh
U girl[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikosha aiseeee naona mpaka nafsi yangu imeanza kutaman tena kyrudi kule
 
Kuruta si mtu..kuruta ni mdudu!!


Haiwezekani kamanda maji kupanda mulima...Nalelaa kumanya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…