Nimemiss daddy yangu watu8

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari

Wengi wanapenda kuwa karibu na wazazi wao na wengine huona taabu pindi wawapo mbali na
wazazi wao hususani daddy ambaye ni gurudumu la famiilia tena ni msingi wa familia kama
hayuko baba basi hata familia inaona imepoteza kitu cha muhimu kwao.

Wapendwa kwanini nasema hivi nasema hivi kutokana na leo ni siku spesho kwa wanaume
wale ambao wanajitambua kuwa wako na wanafanya yale majukumu yao kama walivyo
kwani wao ni nguzo za familia , wanaume wengi hawajitambui wao ni nani na wengine
wamekuwa ni WAVIVU sana miaka hii hawajishughulishi kwa chochote wao wanakinga mikono
kwa wanawake wanataka kulelewa tu bila kukaa katika nafasi zao kama wanaume
Hawajui kuwa taifa na kizazi kinawategemea wao. kwani wao walikuwa wa kwanza kuumbwa.


KILICHONIHAMASISHA HAPA.

Kilichonihamasisha kuongea haya ni kimoja tu daddy watu8 yetu siku hizi amekuwa mbali
nasi, amekuwa busy sana hata kumuona imekuwa taabu sana, wakati mwingine tunamuuliza
mumy measkron daddy yuko wapi? mumy hana jibu la kutujibu anabaki kutuambia hajui
sasa daddy uko wapi jamani ? tulikuwa na birthday tukakuinform hukutokea sijui tatizo nini?

TUMEKUMISS HASA MIE LADYF NIMEKUMISS SANA TUNAKUOMBA POPOTE ULIPO DADDY
JITOKEZE JAPO KWA NENO FUPI TUFURAHI
hivi unajua daddy wewe ulikuwa kila mahali
unapokwenda kwenye sport uko pamoja nami, ulinizoesha kupenda futuboli sasa tangia
umekwenda kikazi huko magharibi hata kasalamu daddy hatukapati

Mimi nawenzangu
charminglady, Passion Lady, sweetlady, Firstlady 1, Lady doctor WiseLady pamoja na kaka yetu Davie tumekumiss sana tuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…