Labda maisha ya sasa yanaitaji vitendo zaidi kuliko Ngonjera na hadithiWakuu wakuu nimess hadithi balaa tangu sijajiunga jf nilikua nasoma hadithi nyingi ila sasa sioni hadithi hebu wakuu tafadharini sana niwekee link uzi wa hadithi yoyo iwe ya kijasusu au ya mapenzi kutisha n.k niwekeeni nisome iwe mpya au ya zamani
No kejeli
Kwa sababu hautaki kejeli ila ningekusimulia hadithi za msaliti/Yuda na Bulicheka na Lisabeta.Wakuu wakuu nimess hadithi balaa tangu sijajiunga jf nilikua nasoma hadithi nyingi ila sasa sioni hadithi hebu wakuu tafadharini sana niwekee link uzi wa hadithi yoyo iwe ya kijasusu au ya mapenzi kutisha n.k niwekeeni nisome iwe mpya au ya zamani
No kejeli