Nimemiss kupendwa....

iwe 15+ mkiacha kubebishana hata kwa wiki mara 2 ujue maji yatatafuta mkondo wa kupita.
Well, kila mtu na jinsi anavyoendesha maisha yake ya mapenzi. Nianze tu kubebishana wakati natakiwa niongee na wife issues za muhimu, tukimaliza ku-chat kichwa kinauma coz mambo ni mengi pesa hazijai wallet[emoji16] we mzee mwenzangu mambo yako mazuri bado mnabebishana kila mara...
 
Wee jamaa khaa!!! Mbinafsi
 
Zunguruka ukikosa, njoo kwangu nitakupa hivyo unavyovimisi,

swali ni je nawe unatoa hivyo unavyotamani kupewa
Maana kusiliwe kwa mwali tu, halafu kwa kungwi aAah! Aah!!
 
Sio ubinafsi, ni reality ya maisha tu. Utabebishana wakati bills kibao zinakusubiri? Hapa naona kwa nini wanawake wanaishi maisha marefu zaidi yetu..
Usisingizie bills bana that's not fair, kwahiyo usimpomtxt ndo bills zinapungua hahaha
 
Ni kweli majukumu naelewa, hata mie najua nimepunguza vingi tu ila tusiifanye ndio sababu sasa ya kuacha kupendana kushow makopa kopa
Imagine wewe kabla ya kupata mtoto na baada ya(hopefully unae tayari). Huoni kama ule upendo wako kwa jamaa umeugawa mara mbili saivi? Be honest!!
 
Imagine wewe kabla ya kupata mtoto na baada ya(hopefully unae tayari). Huoni kama ule upendo wako kwa jamaa umeugawa mara mbili saivi? Be honest!!
Have two kids, I love them lakini haijanifanya nipunguze kumpenda baba yao nampenda mno kama zamani tu teh ndo maana bado natamani tuwe na makopa kopa yetu japo najua majukumu tu yanamtinga hny wangu
 
Have two kids, I love them lakini haijanifanya nipunguze kumpenda baba yao nampenda mno kama zamani tu teh ndo maana bado natamani tuwe na makopa kopa yetu japo najua majukumu tu yanamtinga hny wangu
Hongera (two kids) lakini huenda kwa sababu ya majukumu, humpi tamu kama kipindi cha mwanzo(kabla hamjawa na watoto)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…