Nimemiss kupendwa....

Nimemiss kupendwa....

Humu kila mmoja anaanziaga kwenye foolish stage halafu taratibu anaenda kwenye mature stage

Mfano ni huyu mtoa mada kwa sasa kawa mjanja wakati alikuwaga zezeta tu
 
Kuna mtu anakutaka, anatumia njia ya kufukua makaburi?? Nani huyu??

Bonge la mshamba na limbukeni! Huyu atakuwa mama boy siyo mwanaume! Hizi tamthiliya hasa za Kifilipino zinaharibu sana watoto wa kiume!
Kuna watu hawana akili kabisa asee kwa kweli njia anazotumia ni za kitoto
 
Back
Top Bottom