....mkataa kwema pabaya panamwita....umehamia udhunguni wakati mbaya...au kodi zimeshuka...!! Kuna bibi mmoja alipelekwa UK na watoto wake, lengo likiwa ni kufanya mipango apatiwe URAIA...Siku ya kwanza...(ajielewi) mara day two...kufika jioni bibi anaanza kuwauliza wanawe "Bi Mwasiti yuko wapi"? Mara.."Mama Manka simuoni"..Watoto kuanza kufuatilia, kumbe wote hao walikuwa ni WALA UGORO WENZAKE....Aliweka mgomo wa kula, na hatimae walimrudisha BONGO bibi wa watu...chezea ALOSTO WEWE...Angalia nawe usijerudi kitaa mwakani....