Nimemiss sana hii misemo huku kitaani kwetu

Nimemiss sana hii misemo huku kitaani kwetu

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
5,051
Reaction score
5,104
Laki si pesa cjuiiii Hasara roo pesa makaratasi..Vp jamani Wadau embu niongezeeni mingine
 
tangu uhamie masaki sasa umekuwa na kejeli sanaa !! Ama kweli masikini akipata matako hulia mbwata
 
....mkataa kwema pabaya panamwita....umehamia udhunguni wakati mbaya...au kodi zimeshuka...!! Kuna bibi mmoja alipelekwa UK na watoto wake, lengo likiwa ni kufanya mipango apatiwe URAIA...Siku ya kwanza...(ajielewi) mara day two...kufika jioni bibi anaanza kuwauliza wanawe "Bi Mwasiti yuko wapi"? Mara.."Mama Manka simuoni"..Watoto kuanza kufuatilia, kumbe wote hao walikuwa ni WALA UGORO WENZAKE....Aliweka mgomo wa kula, na hatimae walimrudisha BONGO bibi wa watu...chezea ALOSTO WEWE...Angalia nawe usijerudi kitaa mwakani....
 
Back
Top Bottom