mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,725
- 2,703
ComradeNdio shida ya waafrika... ndoa huwa mnaifanya ni jehanam.....
Nani kakwambia ukiwa ndoani kwenda club marufuku? Acheni utumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono
Akili za Waafrika wengi sijui zikoje sijui ndio hizi dini za kuletewa na Wazungu na Waarabu
Life is about happiness
Mungu ameetuumba tuish kwa furaha tukiinjoi huu ulimwengu na vyote vilivyomo
Mfano kwenda Club kuupa Moyo furaha na kufurahi na marafk na ndugu sio dhambi kwa Mungu
Chief Economist