Nimemiss sana mvua kubwa na radi yani nikikumbuka homu machozi yananitoka

Nimemiss sana mvua kubwa na radi yani nikikumbuka homu machozi yananitoka

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka wanajamvi!

Homu ni homu tu. Yani navuta kumbukumbu ya miaka ya nyuma Arusha.

Mvua kubwa yenye radi raha hasa ikianza Ijumaa usiku na wikendi umenunua msosi wa kutosha huko na mpenzi wako ndani.

Utamu wake unanoga zaidi ukiwa kwenye nyumba ya bati zile kelele.

Mimi ilikuwaga inanikuta na demu wangu kipenzi aliniachaga nusu mrangi nusu mpare. Yani tumejifunika kwenye blanket kaegemeza kichwa chake kifuani akisikia mapigo ya moyo huku kwenye dari kitu kikidondoka na kupiga kelele.

Leo nasoma thread nyingi za mvua hadi natamani ningekuwa Bongo sasa.

Homu ni homu tu.
 
Bongo ukiwa na mpunga tamu sana ila ikiwa kinyume chake ni kama uko jangwani japo kuna bahari,mito na maziwa..




Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Sehemu pekee iliyoniogopesha kwa radi ni kigoma, kuna radi OG na kutumwa. Huweza kutokea wakati wa mvua za rasharasha, kubwa za mafuriko au hata wakati wa jua kali. Hizo radi hulipuka mithiri ya bomu la Iroshima...

Zikipiga wakati unagegeda, mzuka lazima upotee...Hizo za Arusha na kwingineko ni vijiradi
 
Subiri magundu atoke ndio angalau uje kutembelea...

Halafu hujamiss mvua wewe.

Umemiss kunywa mataputapu ya ngarenaro na kuvuta bangi za Ungalimi.
 
mtani
Ulipona lile tatzo lako la usahaulifu?
Jitahd unikumbuke, mm ni yule mganga niliyekutumia zile tunguri za kuwasahaulisha wadeni wako.
 
Hakuna kitu naogopa kama radi, nimejibanza kwenye kibanda karibu na home kupisha mvua iishe, ikapungua yakabaki vimanyunyu..mdogo mdogo nikaanza piga hatua toka kibandani, hatua kama 10 mbele radi ya uhakika ikapiga, ikachoma na kupasua mnazi uliokuwa nyuma yangu kidogo, ukanza kuwaka. Nilipo shtuka nipo sebuleni kwa jirani bila kujitambua. Mpaka leo siwezi sahau.
 
Back
Top Bottom