The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuka wanajamvi!
Homu ni homu tu. Yani navuta kumbukumbu ya miaka ya nyuma Arusha.
Mvua kubwa yenye radi raha hasa ikianza Ijumaa usiku na wikendi umenunua msosi wa kutosha huko na mpenzi wako ndani.
Utamu wake unanoga zaidi ukiwa kwenye nyumba ya bati zile kelele.
Mimi ilikuwaga inanikuta na demu wangu kipenzi aliniachaga nusu mrangi nusu mpare. Yani tumejifunika kwenye blanket kaegemeza kichwa chake kifuani akisikia mapigo ya moyo huku kwenye dari kitu kikidondoka na kupiga kelele.
Leo nasoma thread nyingi za mvua hadi natamani ningekuwa Bongo sasa.
Homu ni homu tu.