The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mvua huku mkuu si ka ya bongo huku ni drizzling sometimes inakuwaga hasa mwezi huu wa November storm hutokeaKwano Huko Copenhagen hakuna mvua na radi
Mvua huku mkuu si ka ya bongo huku ni drizzling sometimes inakuwaga hasa mwezi huu wa November storm hutokea
Besti ni kuja kutembelea tu na kusepaTema mate chini Jon..huku hakufai..!hebu kaa huko huko
Besti ni kuja kutembelea tu na kusepa
Dah..!mm nisingerudi huku
Haha!!? kweli umepachoka nyumbani..
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π πZikipiga wakati unagegeda, mzuka lazima upotee...