Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Mashangingi hayajuagi nyimbo hiziStep by step ..shushaaa
Kiuno kidogo ..shushaaa
Pole pole Kwa manjonjo........
shushaa
Apo apooo apoooooooo .
Nothing is interesting if you're not interestedAisee...uko vizuri, kuandika yote hayo mm kusoma tu nimeshindwa
Ndiyo,nikiwemo mimi.Wapo waliommiss Mzee Yusuph? Wapooooo!
poaNa magonjwa ya ngono yamekumiss pia.
huko ni noma mzee babaMkuu stori yako imenifanya nirudi ndani nivae raba na tisheti niingie kwenye taarabu maana leo pub ya jirani linaamushwa dudee
Delta Force
Wacha tu mkuu long live taarabuhuko ni noma mzee baba
utakuta demu anakuzungushia kiuno kama feni tofauti na nyimbo za club ambazo melody yake haitaki demu awe anakatika sana.
Wazee wa kusubiri viwanda vya Magufuli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Step by step ..shushaaa
Kiuno kidogo ..shushaaa
Pole pole Kwa manjonjo........
shushaa
Apo apooo apoooooooo .
Hahaha...Wimbo gani huu? Kaimba nani?Step by step ..shushaaa
Kiuno kidogo ..shushaaa
Pole pole Kwa manjonjo........
shushaa
Apo apooo apoooooooo .
Mkuuu aloimba simjui ,,ila nkionjo wimbo unaimbwaga I want to marry you baby ,,,, ila sio marry you ya diamond
Aaah Ok,Sawa.Mkuuu aloimba simjui ,,ila nkionjo wimbo unaimbwaga I want to marry you baby ,,,, ila sio marry you ya diamond