Nimemiss sana shoo za Mzee Yusuph na Jahazi

Ona sasa akina mama wenyewe mnapenda mkiitwa majimama mambo yenu vijana wanayaleta huku.

Mjisitiri japo kiasi,wenyewe kwa kupenda vijana na kuwaita majina yanayowatia wazimu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akujaalie walau umiss pia kushika kitabu kitakatifu cha imani yako...kuna kitu utaongeza pia

germve himself
 
Lakini mabwabwa wengi ndo wanapenda taarabu kwanini.....?
 
Kwanin umeacha sasa???
Nimepunguza ngono.
Afu nilikuwa na tabia mbaya sana yani nilikuwa naenda na kisuruali chepesiii.
Jimama likinigusa tu linakutaka na kitu imejenga hema mbayaaa.
Chakaraa lazima linigande hadi mwisho.
Ila sasa hivi nna upako naeneza neno tu kama geajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…